Unajua hapa duniani watu wanajionaga wajanja sana,ila hamana lolote.
Piga picha upo kwa nani,hii dunia ni yako?
Unakula tu,unafakamia tu na kuponda vistarehe vyako,and then baade unaanza kulia.
Hii dunia ni ya Mungu,tena Mungu Baba wa Mbinguni.
Wewe cheua tu,hivyo vistarehe,kuna siku utakula kichapo cha kifo and as we all know hakunaga majanja katika kifo,utalabuliwa kifo cha aibu na Mungu siku moja halafu katikati ya mauti na kifo yaani hapo katikati kabla roho yako haijaondoka utalia kiama,sisi tulio soma na shule ikakaa kichwani tunamjua Mungu vizuri.
Angalia usije ukawa funzo.
Asante.
😳Kuna Nini tena mkuu?Unajua hapa duniani watu wanajionaga wajanja sana,ila hamana lolote.
Piga picha upo kwa nani,hii dunia ni yako?
Unakula tu,unafakamia tu na kuponda vistarehe vyako,and then baade unaanza kulia.
Hii dunia ni ya Mungu,tena Mungu Baba wa Mbinguni.
Wewe cheua tu,hivyo vistarehe,kuna siku utakula kichapo cha kifo and as we all know hakunaga majanja katika kifo,utalabuliwa kifo cha aibu na Mungu siku moja halafu katikati ya mauti na kifo yaani hapo katikati kabla roho yako haijaondoka utalia kiama,sisi tulio soma na shule ikakaa kichwani tunamjua Mungu vizuri.
Angalia usije ukawa funzo.
Asante.
UmeniwahiTusitishane bana
Mambo ya kufukiwa futi sita chini ya ardhiIla nyie kifo kiacheni tu😥😥😭
Nani kakuudhi mkuu?Unajua hapa duniani watu wanajionaga wajanja sana,ila hamana lolote.
Piga picha upo kwa nani,hii dunia ni yako?
Unakula tu,unafakamia tu na kuponda vistarehe vyako,and then baade unaanza kulia.
Hii dunia ni ya Mungu,tena Mungu Baba wa Mbinguni.
Wewe cheua tu,hivyo vistarehe,kuna siku utakula kichapo cha kifo and as we all know hakunaga majanja katika kifo,utalabuliwa kifo cha aibu na Mungu siku moja halafu katikati ya mauti na kifo yaani hapo katikati kabla roho yako haijaondoka utalia kiama,sisi tulio soma na shule ikakaa kichwani tunamjua Mungu vizuri.
Angalia usije ukawa funzo.
Asante.
Pole sanaMkuu acha tu,watu hii dunia wahasikiagi hata kidogo.
Usiseme hivyo 😥😥🤦♀️Mambo ya kufukiwa futi sita chini ya ardhi
Ukweli ndiyo huoUsiseme hivyo 😥😥🤦♀️
Unasemaje wewe!!!Kwan VP mkuu umefukuzwa Kwa shemeji ukaambiwa ukajitafutiee maishà Yako unaona wanakunyanyasaa unaamua kutambaa Dunia tunapitaa ..Dunian nikipita ndio mtu asilee starehee na kufurahia maishà haya??
Ss ntakuwa nakusudi gan la kuwepo dunian
Inaogopesha jamani..mtu nimetoka kupiga nae story asubuhi saizi unaambiwa amekufa gafla tu dah😥🤦♀️🤦♀️Ukweli ndiyo huo
Yesu Kristo aliwahi kusema " Kuweni tayari maana hamjui siku wala saa"Inaogopesha jamani..mtu nimetoka kupiga nae story asubuhi saizi unaambiwa amekufa gafla tu dah😥🤦♀️🤦♀️
Hatakama😥Yesu Kristo aliwahi kusema " Kuweni tayari maana hamjui siku wala saa"
Unabishana na biblia?Hatakama😥