secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,051
- 48,516
Naungana na wewe. Wanawake wengi kinachowapendezesha ni mavazi.Nakataa...
Nasema bila kifichoš
Naungana na wewe. Wanawake wengi kinachowapendezesha ni mavazi.Nakataa...
Born Dar, Primary Dar, Sec Dar, Adv Dar, Univ Dom, Job Dar... Sijawahi visit Mumbai.She's miss world, we wa wapi mkuu?
We huon mwavu hizo na vimikono Kama mgonjwaAcha zako wewe, ndo mwili wake ana mmantain tone ya muonekano bomba kabisa
Mbona anajulikana ulimwenguni kote, ndo maana nimekuuliza? Mm mwenyewe sijawahi kufika huko, ila namjua Priyanka toka anamaliza form 4 miaka hiyoBorn Dar, Primary Dar, Sec Dar, Adv Dar, Univ Dom, Job Dar... Sijawahi visit Mumbai.
Kabisa, nguo zimeficha mengi.Kuna mengine yalivyo matipwa tipwa likivua nguo halina tofauti na tembo