Kwa ujumla tu ni UBATILI mtupu!Hata kama she's such wonderful girl hana ego kabisa.
Hii ngeni. Ni tofauti na Miss World?Miss grand international
Tatizo Mamiss hawanaga mchango kwa jamii. Ikiisha hii hautamsikia Tena.Hata mimi ndo nimeisikia mwaka huu, ila nahisi ili kuwepo
Kila mwanamke akikaa uchi ni mzuriShe so pretty though.
Nakataa...Kila mwanamke akikaa uchi ni mzuri
Me namjua kama Actress sio Miss.Wanamchango mkubwa sana, tena sana. Priyanka chopra kafanya makubwa India, wanakuwa ma icon.. Kuanzia kutangaza nchi mpaka makampuni