Mkuu haya ninazungumza masuala ya kisheria, hizo habari za riba za 100% hazitambuliwi na sheria. Kikubwa chukua tahadhali.Na akirudisha Mil.5 usipokee hiyohiyo, yeye ameenda kuifanya mtaji akazalisha zaidi halafu arudishe ile ile??? Na muda aliokupotezea?
Ni M5 * 2 yaani 10,000/=
Labda haujaelewa mantiki ya mtoa hoja.Unachotakiwa ni kuwalipa kupitia accoubtbya Benki
Kwahiyo ukiwalipa 5m kupitia akaunti ya benk badala ya 15m nini kitabadilika ikiwa kwenye mkataba umesaini 5m?Unachotakiwa ni kuwalipa kupitia accoubtbya Benki
Kumbe wew ndio mgumu kuelewaKwahiyo ukiwalipa 5m kupitia akaunti ya benk badala ya 15m nini kitabadilika ikiwa kwenye mkataba umesaini 5m?
Hoja ni kuandika bei halisi kwenye mkataba haijalishi umelipa mkononi au benk!
Na kisheria Hawa wenyeviti wa mitaa hawatambuliki kwenye kusimamia mauziano ya ardhi, labda wawe Kama mashaidi tuLabda haujaelewa mantiki ya mtoa hoja.
Siyo kwamba mkataba wa mauziano ukibatilishwa watakukana moja kwa moja kuwa haujawapa kitu, hapana.
Kwenye mauziano ya awali, mwenye kiwanja atakushawishi wewe mnunuzi muandike umenunua kwa kiwango cha chini ili kuepuka kutoa gharama kubwa ya mgao wa % ya fedha za manunuzi kwa mwenyekiti na kamati yake.