Jihadhari na tapeli wa mabwawa ya samaki

Watu wa arusha sijui wakoje. Kuna mmoja kanipiga 8m. Ninamvutia upepo nitamuexpose muda si mrefu. Yeye anahusika na mambo ya vifaranga vya kambale tu.
 
Uchunguzi uanze na huyu.
Mbona anampigia sana chapuo?
 
 
 
hadi pale jero itakaporudishiwa hadhi yake ya kuitwa MIA TANO
 
Unafanya vipi biashara na malipo kwa mtu anayejiita ATUKUZWE!!!!??? Hilo jina ni kiashiria tosha cha jitu tapeli.
 
Wanatumia nafasi ya uchumi wa viwanda kuwalaghai watanzania wenzao hii haikubaliki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…