Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Ukiangalia vitu kwa jicho hilo basi na hakika wewe utakua unaishi kwa circulation ndogo sana. Watu wananunua vitu kutoka Ebay UK, Amazon Us na kwengine ulimwenguni ila mtu akinunua apo Kenya unaona ni tatizo?
Tofautisha Ebay,Amazon,Ali baba na Kupatana.
pole mkuu. Najua laki mbili zinauma hasa kipindi hiki cha tingatinga