jihadhari na huduma ya warembo hawa

Sioni ajabu ya hicho mtoa mada anachosema. Kushikwa au kutomaswa ni ishu ya kawaida. Ajabu ni huyo mteja

Noted Kingi, pamoja na kwamba huyo mteja inaonekana alikuwa dhaifu sana, cha kujiuliza ni kwamba ni nini lengo la yule binti kumtomasa yule jamaa kimahaba mamna ile, scrub inahusianaje na kutekenywa masikio kama sio visa tu vya huyo mdada.
 
Je ni kweli vilevile kuwa eti wakishahakikisha umeingia anga zao hao kina dada wanakusachi mifukoni (hasa mfuko wa shati). Hii inatokea baada ya ku scrubbing na kutumia steam kwa wingiiii.. Je massage kwa walio na uzoefu inakuwaje? Ni kina dada wanafanya vilevile?
 
Hahaha unajua biashara matangazo, sasa binti anatangaza ni nini anaweza jamaa kajua ndo bidhaa kabisa akajipimia mwenyewe kwa gharama ya kufedhehesha utu wake. Mifadhaiko si jambo jema.

Ninachoshauri ni kwamba tunapoenda kuzifuata huduma hizi tuwe wawazi ni nini haswa twahitaji fanyiwa na kitu gani kiwe ni mwiko. Nakumbuka kuna siku nilienda na mama watoto sasa katika ile harakati ya kufanyiwa scrub nilipitiwa mpaka na kausingizi kidogo yeye akawa anaangalia, tulivotoka pale break ya kwanza ilikuwa ni duka la vipodozi kununua vifaa vyote vya kufanyia hayo mambo...ilikuwa ni suluhu njema kabisa...![/QUOTE]

hii ndio solution, sasa huduma utazipata home free of charge!
 
Jana jioni nilienda kwenye Barber Shop moja pale mitaa ya Sinza kwa lengo la kupata huduma ya hair cut, hapo nikakutana na kisa hiki..
Wakati mimi naendelea kunyolewa pembeni yangu alikuwa amekaa jamaa mmoja akifanyiwa scrubbing na mrembo mmoja muhudumu wa saluni ile, kwakuwa alikuwa pembemi yangu kidogo tu nilisikia mazungumzo yote ya yule dada na yule jamaa, nikasikia jamaa akianza kutupa ndoano kwa yule binti, mara nikasikia akiomba namba ya simu, sikuelewa lengo la yule binti lakini mambo aliyokuwa akimfanyia yule jamaa ndio yaliniacha hoi maana mara amtekenye masikioni, mara hivi mara vile, nikaanza kuona yule bwana akihangaisha miguu yake, mara ainyooshe, mara itake kukunja nne, wakati yule mrembo akiendelea na utundu wake mara nikamwona yule jamaa akijikakamua kama vile anasikilizia raha fulani hivi huku akitoa miguno ya mahaba, kumbe jamaa alikuwa anaharibu kwenye suruali.,yule binti akahamaki kwa mshangao na yule bwana kwa aibu akakatisha zoezi la scrub akalipa na kuondoka zake huku akiacha kicheko na gumzo nyuma..
Waungwana kwa kweli kama mtu anajijua hawezi kuhimili mihemko yake basi ni vyema akawepa huduma ya wale warembo wa kwenye saluni za kiume, watakuaibisha.

M-bongoTz, kwa jiulize hawa madada wa sinza wanawatoa wapi?? kona bar, meeda?? au wapi??
But sio sinza tu kuna saloon nyingine ipo makonde karibia na Shamo, wadada wa pale wanafanya the same, this is very bad
 
hii ndio solution, sasa huduma utazipata home free of charge!

Mom there is nothing like freee lunch...mi huwa najua tu baada ya hapo what to expect,,,have to pay somehow....sasa usiniulize huwa nalipa nn:rolleyes:
 
wangu nitamfanyia hizo manicure pedicure sijui scrub mwenyewe!!!! Mwe!!! saluni atakuwa anaziona paa!!
 
Jana jioni nilienda kwenye Barber Shop moja pale mitaa ya Sinza kwa lengo la kupata huduma ya hair cut, hapo nikakutana na kisa hiki..
Wakati mimi naendelea kunyolewa pembeni yangu alikuwa amekaa jamaa mmoja akifanyiwa scrubbing na mrembo mmoja muhudumu wa saluni ile, kwakuwa alikuwa pembemi yangu kidogo tu nilisikia mazungumzo yote ya yule dada na yule jamaa, nikasikia jamaa akianza kutupa ndoano kwa yule binti, mara nikasikia akiomba namba ya simu, sikuelewa lengo la yule binti lakini mambo aliyokuwa akimfanyia yule jamaa ndio yaliniacha hoi maana mara amtekenye masikioni, mara hivi mara vile, nikaanza kuona yule bwana akihangaisha miguu yake, mara ainyooshe, mara itake kukunja nne, wakati yule mrembo akiendelea na utundu wake mara nikamwona yule jamaa akijikakamua kama vile anasikilizia raha fulani hivi huku akitoa miguno ya mahaba, kumbe jamaa alikuwa anaharibu kwenye suruali.,yule binti akahamaki kwa mshangao na yule bwana kwa aibu akakatisha zoezi la scrub akalipa na kuondoka zake huku akiacha kicheko na gumzo nyuma..
Waungwana kwa kweli kama mtu anajijua hawezi kuhimili mihemko yake basi ni vyema akawepa huduma ya wale warembo wa kwenye saluni za kiume, watakuaibisha.

Mmh usiwe ukawa unamaanisha ile ya Pale Sinza Mori. Wale wadada ni balaa. Mimi rafiki yangu alinihadithia kuwa mume wake alikuwa anaenda pale kila wikend lakini alipopata story na kuamua kwenda pale na kuona style wanazopewa wanaume na wale wadada akaamua kuanzia siku hiyo mumewe anyoe saloon za kawaida za mtaani ili ile huduma ikiwezekana awe anatoa yeye tu.

Ladies!! Lets be serious with what we let our men do with themselves. Kutaka umodernity kutatuponza one of these days. Maana wakiwa bar ndo balaa, now kuna saloon (barber shop) and soon utasikia unaombwa na hubby kuwa anataka kufanyiwa full massage.

Wochout!!
 
Noted Kingi, pamoja na kwamba huyo mteja inaonekana alikuwa dhaifu sana, cha kujiuliza ni kwamba ni nini lengo la yule binti kumtomasa yule jamaa kimahaba mamna ile, scrub inahusianaje na kutekenywa masikio kama sio visa tu vya huyo mdada.

According to the real meaning maana ya kufanyiwa facial ni kurelax misuli yote ya sura (kitaalamu tunaiita stress points) sasa kwa wale waliosomea watajua kuwa masikio ni erogenous zones na huwa tunachunguza mtu anapokuja.

Wale wadada hawana elimu hii ya kuwa cartilage za masikio ni sexual zones kwa both male and females so wao wanafanya lakini hawajui wanalolisababisha kwa mwanaume.

I can assure you kama mwanaume humpi haki yake ya kutosha nyumbani na akapitia saloon kama ya Mori imekula kwako.

Ladies be warned.
 
Ati nini?

...kwenye 'UKIMWI' babu :(

wangu nitamfanyia hizo manicure pedicure sijui scrub mwenyewe!!!! Mwe!!! saluni atakuwa anaziona paa!!

...ha ha ha, wivu utakuua wewe, 'kunguru hafugiki!'

According to the real meaning maana ya kufanyiwa facial ni kurelax misuli yote ya sura (kitaalamu tunaiita stress points) sasa kwa wale waliosomea watajua kuwa masikio ni erogenous zones na huwa tunachunguza mtu anapokuja.

Wale wadada hawana elimu hii ya kuwa cartilage za masikio ni sexual zones kwa both male and females so wao wanafanya lakini hawajui wanalolisababisha kwa mwanaume.

I can assure you kama mwanaume humpi haki yake ya kutosha nyumbani na akapitia saloon kama ya Mori imekula kwako.

Ladies be warned.

...aaaaaaah, wacha wewe, wanajua sana tu ndio maana anatumia vidole vya mwisho 'kutekenyea' :D
 
Pombe ya kunywea hom hainogi. Hata mkeo akinunua makokoro yote bado kuna vitu utavimis. Mbona wao hutekenywa miguu na wapaka rangi huko masaluni wanakokwenda? Basi na mume anunue mkoba wa rangi awe anampaka mkewe home
 
saloon-41.jpg

Kweli mwanaume ni kiumbe dhaifu yani hii tu jamaa kakolea:confused::confused:
 
Pombe ya kunywea hom hainogi. Hata mkeo akinunua makokoro yote bado kuna vitu utavimis. Mbona wao hutekenywa miguu na wapaka rangi huko masaluni wanakokwenda? Basi na mume anunue mkoba wa rangi awe anampaka mkewe home

Kumbe mnajua kuwa pombe za kunywea hom hazinogi, mbona nyie wake zenu kama wanakunywa huwa mnawashauri wanyee home labda kama unatoka naye? au kwa wamama zinanoga za nyumbani?
 
Back
Top Bottom