jihadhari na huduma ya warembo hawa

M-bongotz

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,734
405
Jana jioni nilienda kwenye Barber Shop moja pale mitaa ya Sinza kwa lengo la kupata huduma ya hair cut, hapo nikakutana na kisa hiki..
Wakati mimi naendelea kunyolewa pembeni yangu alikuwa amekaa jamaa mmoja akifanyiwa scrubbing na mrembo mmoja muhudumu wa saluni ile, kwakuwa alikuwa pembemi yangu kidogo tu nilisikia mazungumzo yote ya yule dada na yule jamaa, nikasikia jamaa akianza kutupa ndoano kwa yule binti, mara nikasikia akiomba namba ya simu, sikuelewa lengo la yule binti lakini mambo aliyokuwa akimfanyia yule jamaa ndio yaliniacha hoi maana mara amtekenye masikioni, mara hivi mara vile, nikaanza kuona yule bwana akihangaisha miguu yake, mara ainyooshe, mara itake kukunja nne, wakati yule mrembo akiendelea na utundu wake mara nikamwona yule jamaa akijikakamua kama vile anasikilizia raha fulani hivi huku akitoa miguno ya mahaba, kumbe jamaa alikuwa anaharibu kwenye suruali.,yule binti akahamaki kwa mshangao na yule bwana kwa aibu akakatisha zoezi la scrub akalipa na kuondoka zake huku akiacha kicheko na gumzo nyuma..
Waungwana kwa kweli kama mtu anajijua hawezi kuhimili mihemko yake basi ni vyema akawepa huduma ya wale warembo wa kwenye saluni za kiume, watakuaibisha.
 
......Hizi barber shop za kisasa ni balaa tupu, ndio maana my hubby huwa namfanyia mwenyewe scrubbing.
 
Afadhali yako Pretty, yaani ni full mitego, naona baadhi ya wale warembo huwa wana biashara yao nyingine zaidi ya kazi inayowaweka pale.
 
Jana jioni nilienda kwenye Barber Shop moja pale mitaa ya Sinza kwa lengo la kupata huduma ya hair cut, hapo nikakutana na kisa hiki..
Wakati mimi naendelea kunyolewa pembeni yangu alikuwa amekaa jamaa mmoja akifanyiwa scrubbing na mrembo mmoja muhudumu wa saluni ile, kwakuwa alikuwa pembemi yangu kidogo tu nilisikia mazungumzo yote ya yule dada na yule jamaa, nikasikia jamaa akianza kutupa ndoano kwa yule binti, mara nikasikia akiomba namba ya simu, sikuelewa lengo la yule binti lakini mambo aliyokuwa akimfanyia yule jamaa ndio yaliniacha hoi maana mara amtekenye masikioni, mara hivi mara vile, nikaanza kuona yule bwana akihangaisha miguu yake, mara ainyooshe, mara itake kukunja nne, wakati yule mrembo akiendelea na utundu wake mara nikamwona yule jamaa akijikakamua kama vile anasikilizia raha fulani hivi huku akitoa miguno ya mahaba, kumbe jamaa alikuwa anaharibu kwenye suruali.,yule binti akahamaki kwa mshangao na yule bwana kwa aibu akakatisha zoezi la scrub akalipa na kuondoka zake huku akiacha kicheko na gumzo nyuma..
Waungwana kwa kweli kama mtu anajijua hawezi kuhimili mihemko yake basi ni vyema akawepa huduma ya wale warembo wa kwenye saluni za kiume, watakuaibisha.
Thanks Mkuu... lakini nadhani wa kujihadhari ni hao wadada wa saloon... tena wajihadhari na mibaba inayokwenda saloon na kuishia kuharibu kwani kuna siku itabaka hiyo!!!

HUyo jamaa ni kiu iliyozidi imemdhalilisha tu!!
 
Sioni ajabu ya hicho mtoa mada anachosema. Kushikwa au kutomaswa ni ishu ya kawaida. Ajabu ni huyo mteja
 
Mdau ulieleta hiki kisa naamini ni wewe ndio yalikukuta, ukahamisha soo lionekane ni la mtu mwingine wa pembeni. Ha ha ha..
 
Utamu na bahati ulioje bila hata ya kutumia kondom wala gharama yeyote. Hiyo Saloon ina jina na anuani ya makazi? Hongera mabinti kwa kazi nzuri.
 
Saloon nyingi siku hizi zinafanya hivyo, hakuna jipya hapo. huyo mteja ndie ana matatizo ya kiumeni, mwanaume rijali huwezi kumaliza kwa kufanyiwa scrubing bwana..aende hospital huyo
 
HUyo jamaa alitakiwa aongee kikubwa na huyo binti wakamalizane huko mbeleni maana pale kna shughuli mbili, kama hakujua hilo basi imekula kwake
 
Hahaha unajua biashara matangazo, sasa binti anatangaza ni nini anaweza jamaa kajua ndo bidhaa kabisa akajipimia mwenyewe kwa gharama ya kufedhehesha utu wake. Mifadhaiko si jambo jema.

Ninachoshauri ni kwamba tunapoenda kuzifuata huduma hizi tuwe wawazi ni nini haswa twahitaji fanyiwa na kitu gani kiwe ni mwiko. Nakumbuka kuna siku nilienda na mama watoto sasa katika ile harakati ya kufanyiwa scrub nilipitiwa mpaka na kausingizi kidogo yeye akawa anaangalia, tulivotoka pale break ya kwanza ilikuwa ni duka la vipodozi kununua vifaa vyote vya kufanyia hayo mambo...ilikuwa ni suluhu njema kabisa...!
 
Mambo mengine tunajitakia wenyewe ..kama Scrubbing Product zipo madukani ..kwanini tunakuwa wavivu kujituma kina dada hahahaha imagine huyo ndo husb or Boyfriend wako teteteteh..
Nimejifunza hapa!!
 
HA HA HA HA

been there.

...ooohhh yeah, ....
nishafanyiwa madudu kuliko hayo,
lakini hawakufua dafu kuniadhirisha!
...wakianza 'utekenyaji' hamishia mawazo yako msibani!
Wezi tu hao! :D
 
Mambo mengine tunajitakia wenyewe ..kama Scrubbing Product zipo madukani ..kwanini tunakuwa wavivu kujituma kina dada hahahaha imagine huyo ndo husb or Boyfriend wako teteteteh..
Nimejifunza hapa!!
MMH, hata mimi hapa nimejifunza. lakini pamoja na hayo huyu baba naye alikuwa weak sana, au inawezerkana alikuwa ana muda hajatekenywa, you never no. But my hubby i will make sure hizo saloon haendi lol!
 
Back
Top Bottom