Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,113
- 34,953
karata zinaweza kusoma akili yako haya jaribu kucheza. Kabla ya kuche uwe muangalifu wa kuchagua karata yako kisha bonyeza hapo palipo andikwa here zitafunguka karata unachotakiwa uchague karata moja tu uiweke moyoni mwako
computers can read your mind!this site will attempt to read your mind, please follow the instructions carefully.
click here when you are ready to start.
Ukisha bonyeza hapo palipo andikwa (here) itafunguka hivi angalia hapo chini
[table="width: 100%"]
[tr]
[td]i shall now attempt to read your thoughts. Please mentally select a card and concentrate on it.
after you have memorized your card, please click here.[/td]
[/tr]
[/table]
sasa chagua karata yoyote ile unayo taka kwamfano mimi ninachagua karata ya k ya kopa kisha nitabonyeza tena hapo palipo andikwa hivi (here)
kisha nitabonyeza tena hapo chini maandishi tena hayo yalioandikwa hivi (here) hiyo karata niliyo chaguwa itakuwa imepotea ndio uchawi wenyewe wa karata jinsi zinavyokusoma akili yako jaribuni wabongo kisha munie feedback angalia sasa
haya tena (k) ya kopa imekimbia ninashangaa computer imejuaje kama nimechagua karata ya (k) ya kopa?
[table="width: 100%"]
[tr]
[td]the master wizard has selected your card and has removed it from the pile.
surprised? Try it again with another set of cards.
ukitaka kujaribu kivyako bonyeza hapa magic - home: Computers can read your mind![/td]
[/tr]
[/table]
Mkuu you are absolutely correct haha..Hamna magic hapo ,, the trick is easy, mfano ikikuonesha karata nne mwanzo ukachagua moja,, ikileta majibu karata nne za mwanzo zote zinakuwa hamna, wewe unahangaika kuitafuta karata ulochagua unaikosa, then unakuwa deceived kwamba ni magic,, but the thing is karata za mwanzo na inazoleta baadae zote hazifanani.. Hakuna magic hapo mkuu
Mkuu AKON Hii nimefanya mimi kama kwenu iwe mfano wewe jaribu kivyako bonyeza hapa Magic - home: Computers can read your mind! Sisi Wabongo kwa ubishi tumezidi kila kitu tunajuwa ahhhhhhhhhhhhhhhhhhhkarata za kwanza na za pili hazifanani,, angalia vizuri picha zako hapo juu karata za juu hazirudi hata moja na ndo maana hazifanani na za chini.... Kwa hiyo sio karata moja tu kama unavodai bali zote hazirudi,,, its a simple idiotic trick
hahhah , So SIMPLE,
Chunguza SET NZIMA ZA KADI hazitokei ten awanaleta SET MPYA kwa maana hiyo hata ukichagua zote 5, hazito tokea hata moja!
what is the trick behind?..... nani ana fahamu hiyo?
Hamna magic hapo ,, the trick is easy, mfano ikikuonesha karata nne mwanzo ukachagua moja,, ikileta majibu karata nne za mwanzo zote zinakuwa hamna, wewe unahangaika kuitafuta karata ulochagua unaikosa, then unakuwa deceived kwamba ni magic,, but the thing is karata za mwanzo na inazoleta baadae zote hazifanani.. Hakuna magic hapo mkuu
Hamna magic hapo ,, the trick is easy, mfano ikikuonesha karata nne mwanzo ukachagua moja,, ikileta majibu karata nne za mwanzo zote zinakuwa hamna, wewe unahangaika kuitafuta karata ulochagua unaikosa, then unakuwa deceived kwamba ni magic,, but the thing is karata za mwanzo na inazoleta baadae zote hazifanani.. Hakuna magic hapo mkuu