Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 7,442
- 12,715
Mwenye subira hula mbivu, mara nyingi hula zilizoiva vizuri zaidi. Mtu hukata jiwe sio kwa nguvu, bali kwa kudumu. Endelea tu, usichoke. Wakati sahihi wa Mungu ni bora kuliko haraka ya mwanadamu. Tulia na amini mchakato. Mbegu haichanui si ileile inayopandwa. Vitu vizuri huchukua muda. Subira ni chungu, lakini matunda yake ni matamu zaidi... Mjusi na tafakari.