Jifunze ushirikina hapa

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134] [emoji134] mbaumbau rafiki wewe bado sana na una safari ndefu mpaka kuja kunielewa na kujielewa. ...hao family members naamini pia wameshapita instagram Facebook badoo mitandao ya ngono wanasoma magazeti ya udaku na vijarida na baadhi yao wana video na picha chafu chafu kwenye simu zao bado msg na maongezi yao....tafakari haya kwanza
 
So yeyote anekupinga direct huyo ni ana destructive arguments....bro u can fool peoples sometimes bt u'll never full dthem all the times!!!!!,hakuna taifa liliondelea kwa raia wake kueneza ideas za uchawap daily pia tambua nchi yako ipo 3rd world so play ur part at least isogee ktk 2nd world by impacting peoples with constructively ideas not wichcraft ideas!!!!!nina log out coz IQ yangu ndogo sn siwez bishana sana na bingwa wa mabishano km ww!!!!!!thanks for ur time
 
Oya mm nataka kujifunza mazingaumbwe kwa kusoma naweza pats wapi elimu hiyo
 
Sijapenda umaliziaji wako nimeumia sana sana usipende kujinenea mabaya si jambo zuri...usirudie tena kujisema kuwa una IQ ndogo!sawa mbaumbau...!!!kumbuka perception creates reality...!
 
Weka link ya mada moja Tu ya kimaendeleo ambayo ushawahi kuandika hapa jf, moja Tu tafadhari!
Ukiwa huna constructive idea kukaa kimya pia inasaidia......cjawah weka mada coz IQ yangu ndogo sn bt inaniwezesha kujua km mtu kakosea,txt yako inonesha umepanic..,relax bro
 
Ukiwa huna constructive idea kukaa kimya pia inasaidia......cjawah weka mada coz IQ yangu ndogo sn bt inaniwezesha kujua km mtu kakosea,txt yako inonesha umepanic..,relax bro
Futa kabisa kwenye medulla yako hilo neno la kuwa na IQ ndogo kumbuka sifa ni kusifiwa sio kujisifia
 
Mkuu haiwezekani Taifa lenye watu zaidi ya 40ml...mkajadili jambo 1hata kwenye Familia 1 haiwezekani...so...Wengine watajadili...uchumi...wengine...watajadili..NDOA wengine Uzazi...uchawi nk so issue nikila MTU anapenda afuatilie nini lkn kusema eti....mengine yasijadiliwe sidhani kama uko sahihi hata huko Uganda au Rwanda Kura ya Maoni Inaonyesha jambo limepitishwa kwa %zaidi ya 90 unadhani kweli wote waliongea Lugha 1?
 
Haiitaj kuwa na elemu kubwa sn kutofautisha kat ya mtu anaekueleza kitu ili mjadili na anaekueleza kitu ili umuamin na ufate atakalo....sorry jamani IQ yangu ndogo nsameheni km nakosea
 
Haiitaj kuwa na elemu kubwa sn kutofautisha kat ya mtu anaekueleza kitu ili mjadili na anaekueleza kitu ili umuamin na ufate atakalo....sorry jamani IQ yangu ndogo nsameheni km nakosea
mbaumbau nadhani unahitaji msaada wa kiuandishi na kimaono pia
 
kaka hicho kitabu kinapatikana kwa jina la spells book?..kwenye website gani au google playstore?
 
Kwaivyo hayo mapepo yy mwenyw anajua kuwa anayo au hajui au anayatunza kbsa, ndo yanakuwa kma ulinzi wake kwa kumtaarfu au?
Dalilo gani zinaonesha kma huyu mtu ana mapepo au anatunza mapepo?
 

Si utumie kiswahili ndugu wengine elimu zetu std 7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…