Sorry mrembo nilikuwa offline kidogo,nafikiri itakuwa hivyo coz nyumba yao iko eneo hilo la bondeni,nyumba yao ni rangi ya njano advertisement ya MOBISOL na imeandikwa MOBIOSOL kwa juu, yeye mwenyewe mweupe chotara.
Ni hekima kujifunza vyote kwanza ili baadae ujue njia sahihi ya kuelekea!Faida Yake Ni Nini Baada Ya Kujifunza?
Hii nikama NYOTA ya kukubalika kwa Lugha ya BIBLIA inaitwa KIBALI manake kila unachofanya kinafanikiwa.....Pia kuna mnyama flan mdogo sana anaitwa hilo jina inasemekana anapokaa huyo mnyama basi kila aina ya wadudu wanamsogelea sasa washirikina wanamchukua wanamfanyia majambo kwenye biashara
dolevaby kaijibu vizuri ...hayo manyoya yanaweza kuwa na yule ndege mwenye mvuto sana nimemsahau jina...yeye muda wote anatembea na kundi la wanyange wasiopungua 20Mshana niambie kuhusu ngekewa pleasss kuna mtu kaniletea manyoya yake kasema eti nikaenayo ni mazuri kua nayo sijaelewa
Asante mkuu.Ile ni supernatural powers through practice lakini kuna shortcut ya kutumia juju
Kuna watu wana mapepo na huyo mzee ni mmojawapoAsante mkuu.
Kuna sehem nliwahi kuishi sasa huyo mzee alikuwa hapendi mambo ya kuomba. Kilichokuwa kinashangaza ni pale mke wake akiamua kuwaleta wachungaji nyumban ili wafanye huduma ya maombi, yule mzee lazm hyo siku atarud tu nyumbani mapema hta kma wachungaji wameenda sa nne asubuh yule mzee atatoka huko kazini aje nyumban ili awazuie wasiombe. Lkn siku kma wachungaji hawajaja huwa harudi nyumban. Je huyu mzee alikuwa anatumia nn labda au anajuaje kma leo wachungaji wako kwake?
Always a Witch man knows the witch woman!!!!!Mjinga ni wewe.
kila jambo siku zote upo opposite tu.
Si bure wewe, inaonekana kabisa una tabia zote kichawi.
I fully declare that, you're a witch woman.
Kuna wakati unapotaka kuandika kitu jitafakari mara mbili kama hicho unachotaka kuandika kama kitaleta maana unayokusudianext time jiitahd kuegemea ktk mada za maendeleo ktk jamii yetu na taifa kwa ujumla,taifa haliwez kuendelea kwa nguvu kazi yake kujadili uchawi daily.....una sambaza ideas za uchaw daily badala ya kusambaza ideas za kimaendeleo au kuna taifa umewah kuskia uchawi umeimalisha hali ya maisha ya raia wake na uchumi kwa ujumla.
Weka link ya mada moja Tu ya kimaendeleo ambayo ushawahi kuandika hapa jf, moja Tu tafadhari!next time jiitahd kuegemea ktk mada za maendeleo ktk jamii yetu na taifa kwa ujumla,taifa haliwez kuendelea kwa nguvu kazi yake kujadili uchawi daily.....una sambaza ideas za uchaw daily badala ya kusambaza ideas za kimaendeleo au kuna taifa umewah kuskia uchawi umeimalisha hali ya maisha ya raia wake na uchumi kwa ujumla.
Unatoa hukumu ya makosa sana kwahiyo ulitaka nikubaliane na wewe? Mimi naandika kama hobby halafu naandika kile nitakachoweza kukitetea sasa wewe unataka niandike habari za maendeleo as if sasa umeni authorise mimi kuandika habari...hii ni sawa kweli?U'll never argue with a conservative man and expect to win............nimechek replies zako nyng huwa unapenda mtu aku support n for those who dont support u huwa unajib kwa lugha flan ya watu ambao ni uncivilized......unapotosha jamii then unasema mtu km hatak apite kimya ur nt serious..........