masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,847
- 15,028
Mkuu ushindwe katika Jina la Bwana Yesu.View attachment 323858
View attachment 323856
Inaweza kuwa mshangao kwa wengi kuwa sasa nataka kufundisha uchawi live.. La hasha! Hili sio lengo langu kuu. Lengo langu hapa ni;
1. Kuondoa yale mawazo potofu na mgando kuwa unapozungumzia ushirikina basi wewe hujasoma hujui na unaamini vitu ambavyo havipo.
2. Kuondoa dhana ya kuwa uchawi uko Africa na waafrika ndio waabudu uchawi wakubwa.
3.Uchawi na ushirikina ni aina ya sayansi mbinu mahesabu na viashiria vya mambo ya kawaida kabisa.
Wakati sisi tukiaminishwa na wazungu kuwa uchawi ni kitu kibaya na cha kishamba kabisa, wao wameendelea na utafiti juu ya uchawi huku kukiwa na maandiko makongamano vyuo na hata miradi mbalimbali ya uchawi na ushirikina.
Sasa hivi ukihitaji kujifunza uchawi huhitaji kwenda mbali bali kwenye simu yako tayari kuna apps nyingi tu zinazofundisha hayo mambo.
View attachment 323860
Kama u mpenzi wa kujifunza mambo mapya na udadisi wa yale yasiyojulikana na wengine, waweza ingia huko na kupata mengi, LAKINI jifunze kwa nia ya kufahamu na si kutenda.
Fahamu kila utendalo lakini usitende kila unalofahamu..
[emoji101] [emoji101]
[emoji188] [emoji188] [emoji188]
Aamen...! Ila maandiko hayakuweka ukomo wa kutafuta elimu ya maarifa....am sure baada ya kumaliza kusoma umeongeza ufahamu[emoji2] [emoji115] [emoji124]Mkuu ushindwe katika Jina la Bwana Yesu.
Ibilisi huwa ana lugha tamu ya kuteka watu kwenda motoni.
Usifanye hivyo utachuma laana na visasi..Mwombee kwa Mungu aache njia zake mbayaKiukweli ikithibitika beyond daught kwamba ndugu yangu ni mchawi/mganga analoga watu naweza toa go ahead auawe....
Nawachukia sana wachawi na waganga wa kienyeji wanaofanyia wenzao ushirikina
Chanting Inategemea unachant kwenye kitu gani
mshana br,this is too much,punguza basi madunguli dunguli,yanatukumbusha mbali wengine,leo tumeokoka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 323866View attachment 323867[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Elimu inayokupeleka kuzimu haina tija!Aamen...! Ila maandiko hayakuweka ukomo wa kutafuta elimu ya maarifa....am sure baada ya kumaliza kusoma umeongeza ufahamu[emoji2] [emoji115] [emoji124]
Aamen asante sana kwa ushuhuda mzuri .....kufahmu kitu ni tofauti kabisa na kuamua kukipractice..hebu soma hitimisho languElimu inayokupeleka kuzimu haina tija!
Ibilisi ni mfalme wa uongo, na akisha kupata ukaingia anga zake ndio ukweli na majuto yanadhihiri.
YESU tu ndio njia na ukweli maishani.
Nimeona maishani, mtu kwa hiari akijiingiza ushirikina na mara nyingi kwa ajili ya maisha mazuri, pesa n.k.
Lakini baada ya kuingia mkataba na Ibilisi yanaanza masharti, kutoa kafara ndugu na jamaa.
Mtu huyo anaishia kuishi maisha yenye masononeko makali moyoni, pamoja na pesa yake.
Mwisho wa siku hao maajenti wa Shetani huja kumchukua yeye moja kwa moja.
Mfano madhubuti ni jamaa mmoja tajiri mmiliki wa mabasi mengi sana ya Widambe aliyuwawa kiutatanishi na ajali pale Mnazi Mmoja akisukuma mkokoteni.
Mkuu hakuna kama Yesu ili uishi maisha yasiyo na mawaa!
Amini uokoke leo.
ndugu mbona unamkomalia mshikaji amekutibulia issue zako? sisi wengine tunapenda kujifunza hii elimu tuache we sepa zakoSina lengo la kubishana na wewe na wala siitaji respond yako.
Lengo langu ni wewe kuacha tabia zako za kufundisha jamii uchawi na ulozi.
Umeleta mada sehem wazi nami nakufundishia sehem wazi, privacy ya nini hapa?
Wewe ni mjinga na usipojiangalia utadumaa na hizo tabia zako chafu.
Hatujui kesho utaleta mada gani na tabia yako kama chizi.
Huo ni utumwa unaofanya, je utakuwa mtumwa hadi lini?
Soma hata maandiko ya vitabu vitakatifu vinavyosema
"na alaaniwe mtu yule anayemfanya binadamu mwenzie kama kinga yake"
we kwenda zako ungekua unamjua yesu ungewaunga mkono maccm kwa matendo yao ya kisheitwaniMkuu ushindwe katika Jina la Bwana Yesu.
Ibilisi huwa ana lugha tamu ya kuteka watu kwenda motoni.
Du......!we kwenda zako ungekua unamjua yesu ungewaunga mkono maccm kwa matendo yao ya kisheitwani
Asante mkuu.Aamen asante sana kwa ushuhuda mzuri .....kufahmu kitu ni tofauti kabisa na kuamua kukipractice..hebu soma hitimisho langu
Between mimi si mchawi wala wakala wa kuzimu I am a God fearing person na nimeokoka japo unaweza Ku question wokovu wangu lakini ukweli ninao mimi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ndugu mbona unamkomalia mshikaji amekutibulia issue zako? sisi wengine tunapenda kujifunza hii elimu tuache we sepa zako
ndugu mbona unamkomalia mshikaji amekutibulia issue zako? sisi wengine tunapenda kujifunza hii elimu tuache we sepa zako
Utakapo amua kujifunza na kuwa mshirikina, inamaana wewe umeshajiweka mbali kabisa na masuala yote ya kumuamini Mungu muumba.View attachment 323858