bereng
Senior Member
- Feb 5, 2013
- 114
- 21
wana jf
mafanikio naamini hupatikana kwa kuwa na maarifa stahiki na yakutosha kuhusiana na jambo unalofanya. Waliofanikiwa katika kada mbalimbali naamini walijifunza kupata ujuziuzoefu wakutosha kwa kile wanachofanya.
Naamini maarifa au elimu ndiyo kitu cha msingi ktk kufanikiwa na sio pesa! Ukiwa na pesa bila maarifa au elimu nafikiri utakuwa umepungukiwa na kitu cha msingi sana. Mfano unaweza kushinda kiasi cha shilingi milioni 100, ktk bahati nasibu, lakini kama huna maarifa na hujui namna ya kuizalisha ile pesa kuna uwezekano baada ya muda fukani ukawa kapuku! Mifano ipo ya namna hii.
Kuna watu ambao wanafanya biashara ya soko la mtandao. Naamini wengi wako huko ila hawana maarifa ya kutosha kuhusiana na biashara hiyo.
Kwa ufupi biashara hii ni miongoni mwa biashara zinazoheshimika sana na imezalisha mamilionea wengi proffession tena vijana kuliko kada nyingine yoyote.
Tatizo kubwa ni watu wanaofanya biashara hii ambao hawana uelewa wa kutosha kuhusiana na biashara hiyo. Inafika wakati wanafundsha watu kutembeza bidhaa mtaani kama machinga!
Nini maana ya home based business au internet marketing kama unatembeza bidhaa mtaani? Aidha ingekuwa hivyo sidhani kama watu wangekuwa wanatengeneza kiasi kikubwa cha fedha.
Napenda kuwatia shime wale mnaopenda kujifunza biashara hii ni biashara inayeza kubadilisha maisha yako endapo utakuwa tayari kujifunza na kuifanyia kazi kwa bidii.
www.fursatz.vemma.com