Jifunze nyuki kijiji cha nyuki Singida utajirike

Suphian Juma

Senior Member
Apr 2, 2019
133
546
TANGAZO: Shule huria ya Kijiji cha Nyuki Singida inakutangazia mafunzo ya mwezi ya kuanzisha na kusimamia manzuki, kuvuna na kuchakata, na masoko ya mazao na huduma za nyuki za nyuki yatakayoanza tarehe 1 Septemba hadi 30 Septemba 2022 kwa ada ya Tsh Milioni moja ambapo wanafunzi watapata chakula, malazi na safari za mafunzo kwa siku 30.

Kwa usajili na maelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba +255 765 895 805, +255717027973 na kwa kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii (kijiji cha nyuki Tanzania).

WHERE NATURE MADE BEES AND PEOPLE BEST FRIENDS.


 
Mimi napenda kujua matokeo tu ya nafasi ya Uongozi uliyogombea ndani ya Chama
ulipata Kura ngapi Mkuu Suphian??hakika CCM ina wenyewe
 
Lakini tulishaambiwa kuwa "utajiri ni siri" pia ukiitishiwa fursa ujue ....
 
chakula bure??........... mamirenda ya wanyaturu ndo unasema bure??? ugali wa ulezi ulivo mgumu mpaka kwenda kunya unaogopa!!/unajishauri/unawaza kuwa utaanzaje kunya ...make ule bana unachana chana nyaa!!

halafu mbaya zaidi unakuachia vidonda unauguza weeee!! mara utataka kunya tena mweee!!...wanya turu wengi wana makovu mengi sana sugu, kunako naniliu chunguza uone!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…