Jifunze miezi ya kiarabu/kiislamu

Jifunze miezi ya kiarabu/kiislamu

Baba wa Mapaka

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
1,828
Reaction score
1,664
Assalam Aleikum
Habari za usiku
Kumekuwa sintofahamu juu ya dini zetu hizi

Kuna watu hawajua mwezi January kwa dini ya waislam

Hii hapa
images.jpg
 
Mhh kwa hiyo huu ni nwezi wa rajab means ramadhani bado au mm sjaelewa?? Ninachoelewa huu ni mwezi shawaal haiendi kama ulivyoipanga na inakwenda kwa muandamo wa mwezi
 
Assalam Aleikum
Habari za usiku
Kumekuwa sintofahamu juu ya dini zetu hizi

Kuna watu hawajua mwezi January kwa dini ya waislam

Hii hapaView attachment 813634
Cha kufurahisha majina haya haya ya miezi unayosema ya Kiislam yalikuwa yakitumiwa na Wapagani wa ki-Quaresh kabla Muhamad hajapewa ute na hajaanza kuhubiri dini yake mpya ya Islam. Hao wapagani haga Ramadhan walikuwa wakifunga
 
Back
Top Bottom