Jifunze kuzishinda hisia

Bado not convinced.....ukimpa mtu kitu unamfanyia masharti tena?
Inawezekana kama unampa mashariti kwa maana unayoijuwa wewe so ninaamini mungu aliweka mashariti kwa maana yake kubwa!!
 
Inawezekana kama unampa mashariti kwa maana unayoijuwa wewe so ninaamini mungu aliweka mashariti kwa maana yake kubwa!!
Nafikiri Mungu hajaweka masharti yoyote amekuumba free kabisa. Binadamu katika mishe zake ndio inabidi atie akili kumkichwa....go easy on God he made everything beautifully.....it is us who complicate matters
 
toa njia zinazosaidia kuepuka hizo hisia!!!
 
toa njia zinazosaidia kuepuka hizo hisia!!!
Mkuu hawa Moderator naona wao ndio wanaamua tu topic ya uzi iwe vipi mimi sikuweka mambo ya hisia kwenye uzi wangu wao ndio wabebadili sijuwi kwa maana ipi!
 
Last edited by a moderator:
Pengine mtihani mkubwa unakuja kutokana na aina ya ladha inayopatikana pale!
Lakini tukizingati maandiko na maagizo yote ya mungu tunaweza kuishinda hii kitu!

Kibo 10! hv adamu na hawa waliijua ladha ya hii kitu kabla? mana nao walivunja maagizo ya mungu.
 
Kibo 10! hv adamu na hawa waliijua ladha ya hii kitu kabla? mana nao walivunja maagizo ya mungu.
wisu hawakuijua kabla ila walikosea baada ya kuionja ikawachanganya vichwa!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…