Mahamoud Salum
Member
- Feb 26, 2014
- 18
- 10
Hi ma guys naomba mnisaidie mimi ni mwalimu niko nanyumbu masasi mtwara shule ijulikanayo kwajina la nanyumbu sekondari napenda kufungua blog ya shule napia uku kuna mradi wa iknowledge internet access ambayo imeanza fanya kazi ivi karibuni so ningependa iwepo blog kwajili ya taarifa na publishing mbalimbali naombeni mnisaidiie jinsi ya kufungua blog na jinsi ya kuiaccess blog please please i need help
thanks IT WANGU
ninayo tayaribKwanza lazima uwe na account gmail/google
ninayo tayari kiongoziKwanza lazima uwe na account gmail/google
Kwanza lazima uwe na account gmail/google
pitia hapa Kwa wanaoanza, jinsi ya kutengeneza website kwa kutumia blogger.comninayo tayarib
ninayo tayari kiongozi
Mkuu naomba nisaidie iko kitu nna blog yang lakini nashindwa kuidizainBlog kufungua n lahisi labda designing kama unataka free hist ya domain yako nicheki ntakusidia
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahitaji blog sanaBlog kufungua n lahisi labda designing kama unataka free hist ya domain yako nicheki ntakusidia
Sent using Jamii Forums mobile app
nitafute 0625533419Naomba mtu wa kunielekeza kutengeza blog na kuniunganishe ili nipate pesa