Umefanya vyema,kumng'ang'ania ni kujiumiza KIAFYA si nzuriAaah mimi nimemuacha aende nashangaa bado ananichungulia tuu dirishani sijui alikuwa ana bipu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna muda unahitaj MWENZA,
Jambo zuri japo wengi hushindwa,sijui kwanin?nashukuru mungu alinipa moyo wa kuwaacha waende zao..biashara za kulilia au kubembelezana na binti sinaga asee...
Usiuendekeze Moyo,moyo hauoni ila wewe ndo uatumia macho kumuona anayekuumiza,mbona naona kama jambo gumu sana kuendelea na mtu anayekuzingua,INAWEZEKANAJE?Tatizo moyo
ushauri wa bure
May be ngumu,ila look forward.Mtu anakuzingua mtaishije?Muda unaponyaga though ni ngumu si rahisi..
Na hata kuyatenda rahis pia kama UNAJITAMBUAHayo mambo in rahis sana kuyaandika ila sio kuyatenda usiombe yakukute Me too
Huyo HAJAKUUMIZA wewe,ukiumia mwenyewe utamruhusunilijitahid kumwacha aende duh niliishia kuumiza moyo tu wenye vpaji vyao wengine tunafeli kufanya hivo
Duniani watu wamejaa hapa,ukisema NTAKUTANA NA NANI hapo unakua umejifunga sanaUmenena mkuu ilaa.. Tatizo moyo wa kumuache naukosa jamani..!! Nawaza baada ya yeye atakua nanii? au ndio ntakutana na moto mpya!
young kilimanjaro
Unafikiri kuwa single mchezo
Kwa mahusiano yaliyo pita yalivyo kuwa ya usumbufu.itanichukua muda kuwa na mpenzi.nina 27 sasa.naona nitulie niangalie mpenzi ambae baadae anaweza kuwa mke bora.niko single na nina furaha.Unafikiri kuwa single mchezo
Unaweza uka develop tabia ya kuchukia watu ambao kwenye mahusiano kisa wewe upo single
Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
We canWe (Tanzanians) are so good in theory...the issue comes on how to make this in its reality.... Very shiit
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh, Kweli wewe boyDah mkuu nimejaribu kumuacha aende lakin nimeshindwa... Nimeishia kumngangania japo hanipend
Nipe hints za kuwa single and happyKwa mahusiano yaliyo pita yalivyo kuwa ya usumbufu.itanichukua muda kuwa na mpenzi.nina 27 sasa.naona nitulie niangalie mpenzi ambae baadae anaweza kuwa mke bora.niko single na nina furaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu kwa yaliokukuta...
Mpaka upitie mahusiano magumu yenye kero.ambayo mpaka ujihisi upo kifungoni.mpaka unaomba muachane.na mkiachana.unaona umepata uhuru,Nipe hints za kuwa single and happy
Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Nimejikuta nacheka tu baada ya kusoma post yako. Haya bana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dada ebu naomba nielekeze jinsi ya kumuacha aende[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mzima weye?
Umefanya vyema,kumng'ang'ania ni kujiumiza KIAFYA si nzuri
Kuna muda unahitaj MWENZA,
Jambo zuri japo wengi hushindwa,sijui kwanin?
Usiuendekeze Moyo,moyo hauoni ila wewe ndo uatumia macho kumuona anayekuumiza,mbona naona kama jambo gumu sana kuendelea na mtu anayekuzingua,INAWEZEKANAJE?
May be ngumu,ila look forward.Mtu anakuzingua mtaishije?
Na hata kuyatenda rahis pia kama UNAJITAMBUA
Huyo HAJAKUUMIZA wewe,ukiumia mwenyewe utamruhusu
Duniani watu wamejaa hapa,ukisema NTAKUTANA NA NANI hapo unakua umejifunga sana
May Allah bless Me and You