Jifunze kujiheshimu

BenElohimy

Senior Member
Sep 21, 2021
181
222
Kaka uliye na mpenzi wako usimwone hajiheshimu kila unapomwambia mkajaamiane wala hakukatalii ukaanza kumwazia kwamba yeye ni kahaba.

Yeye amekupenda na anaamini anajiamina na mtu salama kwake wala hakuwazii mabaya. Kumbuka unapomwona kahaba wakati yeye anatii kile ambacho umemwomba je wewe unayeomba penzi kila siku akuite nani?

Jifunze kumheshimu yule uliye naye, lipa gharama kwa ajili yake, unajua nini yeye anaona ni heri aendelee funga ndoa na wewe kuliko kuwa na ndoa nyingi nyingi.

Kitendo cha mwanamke na mwanaume kukutana kimwili hiyo ndoa nyingine, kwa hiyo anapojamiana na wewe pale unapomwambia unahitaji kujamiana usimwone kama hafai lakini jua ameamua kuwa na ndoa moja.

Jifunze kumweshimu yule ambaye anatambua thamani yako kwake kwamba wewe ni wa thamani. Mpende sana, wanawake wameumbwa kuambiwa. Msifie, mshauri, muonye maonyo yenye hrkima ndani yake, usimdharau, kwani usipofanya hivo, shetani aweza kuingilia kati.

Lengo la kumfata mwanamke na kumtongoza ni kwamba unataka kuanzisha naye safari ya maisha, lakini hiyo safsri haikosi kasumba lazima zitamuwepo tuu lakini mwombe sana Mungu akusaidiee

Siyo kila mwanamke unayekutana naye atakufanya ufanikiwe, wengine ukikutana nao, biashara hufa, wengine hata kupata kazi ni ngumu, wengine hata kuzidi kumjua Mungu kunaondoka, unakuwa mtu wa mikosi tupu.

Nakutakia Alhamisi njemaaaa
 
Umesema vyema.
Amen mtumishi, tuzidi kuongea nao tuwashauri tuwaambie maono tuliyo nayo, kwani wao ni wasaidizi, mpaka wanakuwa wasaidizi maana yake kuna vitu kwetu haviko sawa kwa kifupi kuna kaudhaifu tunako, Mungu akufungue akili yako uyaelewa haya, karibu hata PM
 
Sanamu lako nitalijenga chumbani kwangu
Wajue watu kuna wengine hawafai hata kujua unakofanyia biashara, yaaani kheeeee haya maladavi ukijiyoa unaonekana hufai , ila kama unaye kuwa kwa ajili yake.
 
Shetani ana tabu sana, yani mnazini halafu mnaogopa shetani kuingilia kati tena.
We shauri waoane waache kuzini.
 
Labda wataanza Leo...lakin shida pia tukipendwa sana tunaanza jeuri za hapa na pale
Mwanamke ameumbwa kuambiwa, mwanaume ameumbiwa kuona, kw hiyo kama mwanaume hana muda wa kuonvea nawe, kukushauri, kukutia moyo, ama kukusikiliza wewe hakika ni ngumu sana kurndeleaaa
 
Shetani ana tabu sana, yani mnazini halafu mnaogopa shetani kuingilia kati tena.
We shauri waoane waache kuzini.
Hiyo ni mada nyingine japo ushauri wako ni mzuri sana tena sana, lakini hata hao walioko kwenye ndoa bado hawayafanyi niliyoasema hapo, kwa hiyo neema ya Mungu itusaidiie ndygu yangu
 
I will take it for Granted.
Thanks Pal.
All of us we must be committed in our relationships.
To love each other.
To respect each other.
To care each other.
Never forget to love, to care and to respect your Origin......👇
Screenshot_20220403-212226_1.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom