Jifunze kuendesha (ku-control) nafsi ili kujikomboa katika vifungo na kuwa msaada kwa wengine

Mungu wa haki anaumbaje watu bila ya idhini ya hao watu kuumbwa?

Yani Mungu wa haki anajipaje yeye haki ya kuumba watu kabla hao watu hawajamruhusu huyo Mungu kuwaumba?

Kumuumba mtu bila idhini yake kuumbwa si haki.
Akili zingine mbovu kweli hata hazifikirii eti hao watu hawajamruhusu yaani kwanza hajawaumba halafu unataka awaulize wewe unawazo la kutengeneza kiti unaweza kukiuliza kwenye mawazo kuwa nikuunde ama nisikuunde sasa chenyewe kitakuwa kimeamua au wewe
 
Sasa yeye si Mungu mwenye uwezo wote, ina maana kashindwa kuweka mfumo wa kuweza kuuliza watu kabla hawajazaliwa?

Kwa nini unamdogosha huyo Mungu kwa kumfananisha na seremala mtengeneza kiti asiyeweza kukiuliza kiti kama kinataka kuumbwa? Kwani kiti kina uhai? Kwani seremala ananuwezo wote?

This fallacy is called logical non sequitur.

Kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kaumba ulimwengu huu uwe unaoweza kuwa na mabaya wakati aliweza kuumba usiweze kuwa na mabaya?
 

Hakuna mahali nimemdogosha Mungu, nachojua Mungu ni muweza wa yote! Na hapangiwi sasa wewe unachotaka ni kumpangia! Akuulize wewe nani?? Huo mfumo unaoutaka unataka aje ake na wewe umwelezee akusikilize ndo afanye!

Huo mfumo unaoutaka kama yeye muumbaji hajaweka! Siku akiamua mwenyewe ataweka na anabaki kuwa Mungu

Hilo swali la kiti nilikuuliza wewe kimantiki embu kuwa na kufikiri hata kidogo maana unaleta vitu ambavyo havipo!

Hakuna mahali Mungu aliumba mabaya, na huu ulimwengu uliumbwa safi kabisa pasipo kuwa na mabaya yoyote ni mwanadamu mwenyewe kwa kukosa, na kuanguka ndio mabaya yakaingia kwa kumsikiliza shetani na kwenda kinyume na maelekezo ya Mungu!
 
Mkuu samahani kwa hili, Ila sifahamu ni kwa nini nikiona hoja zako huwa Sina kipingamizi, lakini wakati huo nazielewa nadhani Kuna ulazima wa kuelewa umaana wa hoja hizo dhaifu unazopinga.!? sifahahamu huu mkanganyiko kitaalamu unaitwaje au unawezaje kabilianayo vipi.?
 

Hakuna mahali nimemdogosha Mungu, nachojua Mungu ni muweza wa yote! Na hapangiwi sasa wewe unachotaka ni kumpangia! Akuulize wewe nani?? Huo mfumo unaoutaka unataka aje ake na wewe umwelezee akusikilize ndo afanye!

Huo mfumo unaoutaka kama yeye muumbaji hajaweka! Siku akiamua mwenyewe ataweka na anabaki kuwa Mungu

Hilo swali la kiti nilikuuliza wewe kimantiki embu kuwa na kufikiri hata kidogo maana unaleta vitu ambavyo havipo!

Hakuna mahali Mungu aliumba mabaya, na huu ulimwengu uliumbwa safi kabisa pasipo kuwa na mabaya yo ni mwanadamu mwenyewe kwa kukosa, na kuanguka ndio mabaya yakaingia kwa kumsikiliza shetani na kwenda kinyume na maelekezo ya Mungu!
 
maisha ni ujinga tu sijui tunafanya nini hapa duniani kifupi tunazaliwa ili kungoja siku ya kufa.! na kuhusu shetani hio niuongo tu maana hana kitu chamaana alichofanya nichukue kama ushaidi wa uwepo wake.!
 
Ka waganga kuna namna ambayo uliwahi kuona ni kama wamekusaidia mahala?labda kuvuka jaribu fulani ama vipi
 
angetuumba tusiokosea. yani saivi tusingekua hapa tungekua tunaimba na kusifu
 
kazi ipi hapana mimi sio mfano wa mungu.!
 
asa nibora anitishe au anisibitishie uwepo wake kuliko kuniacha ili badae anichome moto.!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…