Jifunze kuchagua Marafiki Baada Ya Ndoa

mchajikobe yule niliyeamini ni rafiki yangu niliekuwa nikilia nae analia nikiumwa nae anaumwa kumbe anapretend sitaki tena
labda baadae sana au wewe uwe rafiki yangu ama nipate kibibi cha 50-70 years nikipende kinipende nikitunze na kukieheshimu hahaha
Karibu sana wee ni PM tuu!!
 
Usisahau na hii iko kwa madadas waliolewa pia. Anakuwa anamwonea mwenzake wivu kwa kuwa kampiku kimaisha -pesa kidogo , life style etc. then anatengeneza mazingira ya kumharibia mwenzake. Sometimes madadas wanadanganyana ile mbaya hasa wanapoanza topic za kuwakandia waume zao . mara anaingia mtegoni anamplekea mumewe waliyodanganyanyana ,kumbe anaharibu huku mwenzie anachekelea jino pembe.


mambo ya wivu yapo kwa kila binadamu asiye jiamini....na hao marafiki wa kukaa na kuongea ishu za waume zenu ndipo tatizo linapoanzia, kwangu mie kwa kweli nikiwa na frnds zangu ni mambo ya kimaendeleo zaidi tufanye nini na nini ili tujikwamue, kuna kusaidiana kwenye matatizo ya hapa na pale,hizo shida za ndani kuna watu na watu wa kuwaeleza...frnds kwangu ni muhimu sana na wananisaidia kwa namna moja au nyingine.
 
mchajikobe yule niliyeamini ni rafiki yangu niliekuwa nikilia nae analia nikiumwa nae anaumwa kumbe anapretend sitaki tena
labda baadae sana au wewe uwe rafiki yangu ama nipate kibibi cha 50-70 years nikipende kinipende nikitunze na kukieheshimu hahaha
kuhusu mimi unakaribishwa sana to my domain,wewe ni pm tu usihofu swahiba!!
 
.naomba nikujulishe baada ya kuwa na mahusiano ya ndoa una/utaitajika kuchagua marafiki ili NDOA yako iendelee...dear
br n sis...nimeeona ndoa nyingi sana zikiterereka sababu ya marafiki..unakuta mtu alikuwa anakaa ROSEGARDEN mpaka saa saba usiku leo hii ameoa hajui pale ndani yuko mkewe na mtoto

ni kweli lazima familiya iwe ya kwanza na wengine wafuate nyuma na rafiki wa kwanza ni mume au mke sasa km nyie si marafiki basi ndoa yenu itakuwa ngumu na vilevile marafiki wema hata wasioa wapo ila kuwa makini.....
 
Pia inategemea hao marafiki kabla ya ndoa mlikuwa mnashea vitu gani.. Kuna wale mliokuwa mnashea nao vilinge kukesha bar, kuongozana nao kwa mabuzi nk... Ukiolewa/ukioa achana nao. Unadhani mtakuwa mnaongelea nini zaidi ya kukumbushana ujinga mliokuwa mnaufanya na hata kushawishiana kurudia mlikopita pamoja??!!
 
Hebu fikiri... una mume anarafiki ambaye alikuwa naye kabla hajaoa na ndiye alikuwa akisaidia sana kupopoa mademu, unadhani huyo rafiki atakuwa wa manufaa kwenye ndoa yenu? Una mke anarafiki ambaye ndiye aliyekuwa akimfichia siri nyingi enzi zile mke anajirusha na vijeba hapa na pale, unadhani huyo rafiki ni wa manufaaa kwenye ndoa yenu??!! Baada ya ndoa kuna marafiki huna budi kuwaweka mbali ili kulinda heshima yako na mwenza wako!!
 
Back
Top Bottom