Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,744
- 25,447
mbona ni rahisi sana nenda kwa wakala wa huu mtandao na kitambulisho ulichotumia kujisajili wanarenew hiyo laini watakuchaji kama buku 2 hivi..Habari za jukwaani wadau?
Nilikuwa naomba msaada jinsi ya kurudisha laini iliyopotea na pia jinsi ya kutengeneza spesho namba.
Asante
Ijumaa Mubaraq
MynamrMmh, wee uko nchi gan hujui kurudisha lain
Mi nikajua unatoa darasa kumbe unaomba kufundushwa.!Habari za jukwaani wadau?
Nilikuwa naomba msaada jinsi ya kurudisha laini iliyopotea na pia jinsi ya kutengeneza spesho namba.
Asante
Ijumaa Mubaraq
Hiyo access unaipata wapi mkuu?Kwa vodacom tu special number
Piga *149*01*03#
Itakuletea
1) availability
2)swap
Chagua number 1
Itakuletea
1)MSISDN
2)NDC
Chagua number 1
Andika number unayoitaka
MF: 0754xxxxxx
Utatuma
Itaambiwa
Enter ICCID
hizi ni number zilizopo kwenye laini . zipo 19
MF: 892550441xxxxxxxxxxx
Itakuletea orodha ya number zinazopatika kwenye hiyo code 0754
Note: ukushaipta unatakaiwa uwe na access ya kuweza Ku swap hiyo number utakayo ipata
Wasiliana na team leader, tdr au Territory manager wa eneo uliopoHiyo access unaipata wapi mkuu?
sijakuelewa mkuu huduma hii unaweza fanya mtu binafsi au mapka uwe wakala wa voda na je kama binafsi wanakubali kukupa access hao watu uliowataja hapa mfano nipo dar mbagala huyo teamleader namkuta kwenye zile vodashop au aje hapo unaweza nisaidia kitu mkuu.ahsantehWasiliana na team leader, tdr au Territory manager wa eneo uliopo
Kutafuta special number mtu yoyote mwenye laini ya Voda, akipiga hii number *149*01*03# anaweza kutafuta number ya Voda. Ili mradi achukue ICC number za laini mpya. Ila kuiwezesha hiyo number kwenye laini mpya lazima laini yako iwe impewea access ya kufanya hivyo. Mimi sipo Dar ila naweza nikakuunganisha na hao watu niliokuambia hapo mbagala. Nicheki Pm nikupe numberS
sijakuelewa mkuu huduma hii unaweza fanya mtu binafsi au mapka uwe wakala wa voda na je kama binafsi wanakubali kukupa access hao watu uliowataja hapa mfano nipo dar mbagala huyo teamleader namkuta kwenye zile vodashop au aje hapo unaweza nisaidia kitu mkuu.ahsanteh
Kutafuta special number mtu yoyote mwenye laini ya Voda, akipiga hii number *149*01*03# anaweza kutafuta number ya Voda. Ili mradi achukue ICC number za laini mpya. Ila kuiwezesha hiyo number kwenye laini mpya lazima laini yako iwe impewea access ya kufanya hivyo. Mimi sipo Dar ila naweza nikakuunganisha na hao watu niliokuambia hapo mbagala. Nicheki Pm nikupe number
Tupe jibu la maswalu juu apo je nkishaipata hio number naenda kwa wakala anaweza kuswap na kuinisajilia?Nasubiriwa. Nimeshafika mkuu.
Najua kwa mtandao wa voda tuNa mitandao mingine je...?