Jifunze jinsi ya kurudisha laini iliyopotea

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,744
25,425
Habari za jukwaani wadau?

Nilikuwa naomba msaada jinsi ya kurudisha laini iliyopotea na pia jinsi ya kutengeneza spesho namba.

Asante

Ijumaa Mubaraq
 
Kwa vodacom tu special number
Piga *149*01*03#
Itakuletea
1) availability
2)swap
Chagua number 1

Itakuletea
1)MSISDN
2)NDC
Chagua number 1

Andika number unayoitaka
MF: 0754xxxxxx
Utatuma

Itaambiwa

Enter ICCID
hizi ni number zilizopo kwenye laini . zipo 19

MF: 892550441xxxxxxxxxxx

Itakuletea orodha ya number zinazopatika kwenye hiyo code 0754

Note: ukushaipta unatakaiwa uwe na access ya kuweza Ku swap hiyo number utakayo ipata
 
Hiyo access unaipata wapi mkuu?
 
S
Wasiliana na team leader, tdr au Territory manager wa eneo uliopo
sijakuelewa mkuu huduma hii unaweza fanya mtu binafsi au mapka uwe wakala wa voda na je kama binafsi wanakubali kukupa access hao watu uliowataja hapa mfano nipo dar mbagala huyo teamleader namkuta kwenye zile vodashop au aje hapo unaweza nisaidia kitu mkuu.ahsanteh
 
Kutafuta special number mtu yoyote mwenye laini ya Voda, akipiga hii number *149*01*03# anaweza kutafuta number ya Voda. Ili mradi achukue ICC number za laini mpya. Ila kuiwezesha hiyo number kwenye laini mpya lazima laini yako iwe impewea access ya kufanya hivyo. Mimi sipo Dar ila naweza nikakuunganisha na hao watu niliokuambia hapo mbagala. Nicheki Pm nikupe number
 
Na mitandao mingine je...?
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom