Jifunze jinsi ya kuongeza uume

Jifunze jinsi ya kuongeza uume

Heh ! Mtu aongeze saizi ya uume ili iweje? Saizi sio issue. Issue ni je, hilo limhogo ulilo nalo au hicho kibamia ulichonacho unakitumiaje? Ulizeni kina dada wawaambie. Ufundi ndio kila kitu.
 
Ni dawa nzur na inasaidia mm nmejaribu na nmeona mafanikio yake.mwanzo inawasha kwa mbal ukimalza zoez inaacha kuwasha
 
Muwasho wake ni kma Vicks kingo ama pipi kal.
 
Anza kujaribu ukifanikiwa utuambie na sie tutumie
 
Tabibu wa mwendokasi ktk ubora wake....Tulikuwa nayo yanatutosha nawe tena unatuletea mengine.....watu wanataka kupunguza wewe unashauri tuengezeni..Tunabana matumizi tafadhali mtoa mada utatuua.....
Hahaha
 
Bora niwek3 pilpil machon lakin sio kwenye mdusheee wangu ndo maisha yangu
 
Umeumbwa kwa nfno wake kwa nni ujibadili kisa kutaka sifa hakika Allaah hapendezwi na mambo tunayofanya ina maana kakosea kukupa hicho ulicho nacho , tuepukana sana na mambo haya .
 
Na yale marefu ya kwenye porno umeyaona jinsi yanavyolegea kwa kukosa nguvu mpaka yasaidiwe na support ya mkono? Yaani pesa ndio dawa ya matatizo yote zingine ni kelele tu.
 
Na yale marefu ya kwenye porno umeyaona jinsi yanavyolegea kwa kukosa nguvu mpaka yasaidiwe na support ya mkono? Yaani pesa ndio dawa ya matatizo yote zingine ni kelele tu.
Heshima ya kitandan yaitajika
 
Mkuu mbona kibamia changu kinafanya kazi kama kawa.ni sawa na mtu anesafiri kwa VX kwenda Moro na mwengine Vits wote tunafika tu mku kwa hiyo angalia usijezua balaa Serikali inakuona unachoambia wananchi wake.
 
Hili jukwaa huru bro
 
Back
Top Bottom