Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,916
- 24,674
Habbat soda inasaidia ninHapa m nakunywa habat soda..
Heri yangu mie ni Budhawakristo mkujeeee!
Unga wa habat ndio unga gani huoFAHAMU SULUHISHO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Ukweli ni kwamba ndoa nyingi za Kikristo zinavunjika kutokana na tatizo hili. Je, hakuna haja ya kuitisha mjadala wa kitaifa? Taifa letu linaangamia kwa kukosa maarifa.
Hivi upungufu wa nguvu za kiume ni nini? Kifupi ni mwanamume kutokuwa na uwezo wa kutoa mbegu bora zenye uwezo wa kutungisha mimba, au kutosimama kwa uume.
Takwimu zilizopo zinaonyesha kuwa asilimia 60 ya wanandoa nchini wanakabiliwa tatizo hili. Kwa hiyo, mabango ya waganga yaliyopo barabarani hayajapunguza kabisa tatizo hilo.
Hawa watu wanatibu watu au majini? Hapo ndipo kiini cha makala haya. Sababu kubwa ya ongezeko la wenye matatizo haya ni kwamba dawa nyingi zinazodaiwa kuponya tatizo hili hazina viwango vya kuitwa dawa, bali ni vichocheo tu kwani kinachopigiwa chapuo huwa ni kumudu tendo kitandani na si nguvu asilia.
Waganga wengi wameelekeza nguvu zao huko na ni hapo ndipo janga hili la kitaifa linapoota mizizi.
Ukweli ni kwamba upungufu wa nguvu za kiume hauondolewi kwa dawa za kuchochea nguvu wakati wa tendo. Hizi zina madhara makubwa na mara kadhaa husababisha vifo kwa wanamume wengi wakiwa ‘guest’ na vimada wao kwani hulipua moyo.
Ni lazima kiini cha tatizo hili kichunguzwe na tiba stahiki ipatikane. Kinyume cha hapo, janga hili linaweza kugeuka na kuwa dubwana kubwa la kutumaliza.
Matatizo ya nguvu za kiume huchangiwa na kuugua kwa muda mrefu, ugonjwa wa kisukari, kuvaa nguo za kubana sana, mionzi ya simu, kompyuta na mengineyo. Pia dawa za kuua wadudu huleta tatizo hili kwani zina viambata sumu viitwavyo ‘estrogen’, matatizo ya kisaikolojia, kupiga punyeto kwa muda mrefu na kutumia vyakula vyenye kemikali.
Utafiti unasema kuna uhusiano mkubwa sana kati ya upungufu wa nguvu za kiume na kuwa na sumu mwilini zinazotokana na vyakula vyenye kemikali tunavyobugia kwa kupenda au kutokupenda.
Ni kutokana na utafiti huo ndipo dawa bora yenye uwezo mkubwa wa kuondoa sumu mwilini kwa muda mfupi ikagunduliwa. Hii ikiwekwa kwenye kinywaji chochote chenye kemikali, mara moja hutenganisha sumu iliyomo humo.
Dawa hii pia huleta nguvu za kudumu za kiume, hujenga afya na kuleta nguvu asilia. Hutatua tatizo la nguvu za kiume huku ukiondoa pia tatizo la ugumba na ni vizuri wenye matatizo kama hayo wakatumia vyakula vya protini hasa ya mimea kwani hurutubisha mbegu.
Kuna aina 2 ya vyakula ambavyo vimefanyiwa utafiti na kubaini kuwa ni moja ya vyakula vinavyosaidia kuongeza nguvu za kiume na havina madhara katika engezeko la nguvu za kiume, katika vyakula hivyo vyenye uwezo wa kuongeza nguvu za kiume kiasili ni:
1. TANGAWIZI
- Tangawizi ni moja ya chakula kinachoweza kurejesha nguvu za kiume, unaweza kuichemsha tangawizi na ukatumia kwa kuinywa kama chai Asubuhi, mchana na jioni pia Tangawizi unaweza ukaitumia katika mchanganyiko wa kiasili kwa kutumia habat soda,asali,kitunguu saumu na tangawizi yenyewe.
JINSI YA KUTUMIA MCHANGANYIKO HUU:
Chukua tangawizi na kitunguu saumu vitwange kisha vichanganye na asali pamoja na unga wa habat soda na uwe unakunywa mchanganyiko huu kwa kutumia kijiko cha chai kimoja kutwa mara 3 kwa muda wa wiki moja na utaona mabadiliko.
2. TIKITI MAJI:
-Chakula kingine kinachosaidia katika upande wa kuongeza nguvu za kiume ni tunda la Tikiti Maji, unaweza ukachukua tikiti lako ukalikata na kutengeneza juice ya Tikiti kisha unakunywa ila sio lazima utengeneze Juice hata lenyewe tu unaweza ukalila. Ila jitahidi kutumia tunda hili hata kila siku kwani linasaidia sana kwa wenye matatizo ya nguvu za kiume.
Mkuu, wanaume siku hizi ni wapumbavu sana badala washindane kuinua uchumi wanashindana kuzikomoa mbunye ambazo hazikomoleki mwee!shida yote hii,kisa ni ili uonekane kidume tu unaeenda round nyingi?
Water melon ukikata vipande ukatia kwenye brenda linajitosheleza na maji yake. Likishasagika vizur tia ndiz moja ndan au passion tunda. Usiweke sukar. Ukidindisha umedindisha jamaaa angu
Huu ukosefu wa nguvu za kiume ni mind set tu banah
Hakunaga kitu kama hicho hii ni kulingana na uchunguz wangu..
Kunasiku mtu unaweza panda juu ya papuchi unajikuta tackle mbili tu wazungu hawa hapa lkn cha ajabu zaidi wakati mwingne unapatana na papuchi ile ile lkn mweny papuchi atasimulia
Labda maelezo yake hayako wazi kuwa anaunga mkono au anapinga! Binafsi nahisi amekuunga mkono. Amekiri kuwa ni kweli swala la upingufu wa nguvu za kiume ni mindsets tu sometimes.. Na ametoa 7bu zake. But kama alikua tofauti atakuja kusema.Umesoma vizuri Uzi wangu na sababu nilizoziainisha mkuu .
hapo ni kweli kabisaAcha fanya mazoezi tafuta mpenzi kula vizuri ukweli ni kwamba upungufu unaotokana na punyeto hutibika kwa we kuacha na kwa mda mrefu kidogo kama miezi sita na kuendelea uume huimarika na siku za mwanzo utapata pre mature ejaculation ila baadae utakaa sawa na baada ya hapo usifanye tena
Yah hapo ni kweli nimekubali kabisaaaa mkuuJinsi ya kuongeza nguvu za kiume.
Kwanza unatakiwa ujue kwamba hakuna dawa ya kuongeza nguvu za kiume Bali zipo za kubusti tu na kukupa power kwa wakati husika,
Pili unatakiwa ujue kwamba ukishaanza kumeza dawa za kubusti wenyewe ndio mnaziita za kuongeza nguvu za kiume basi ujue wewe ni kama mgonjwa wa dawa za kulevya hauwezi kuperform mpaka ujibusti na dawa.
Hakuna mwenye upungufu wa nguvu za kiume wa kudumu Bali stress za maisha,Cycology ya mtu aliyojijengea na baadhi ya vyakula ndio vinavyosababisha
Fanya yafuatayo wish utakuwa Normal tu.
1: kunywa Maji mengi kila siku
2 :Fanya mazoezi
3:kula ushibe hapa ni pa kuzingatia sana siyo kila vyakula unafakamia tu.
4:Ondoa mawazo ya kwamba hauna nguvu za kiume.
5:Ralaxe na ujikubali kwamba hauna hilo tatizo.
NB;Achana na matapeli wanaosema wana dawa za kuongeza nguvu za kiume wakati dawa kuu ya Nguvu za kiume ni wewe mwenyewe.!
Kwa nini mkuuwateja wangu wakiisoma hii ntakosa pesa walai