Jifunze jinsi ya kuongeza nguvu za kiume

FAHAMU SULUHISHO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME




Ukweli ni kwamba ndoa nyingi za Kikristo zinavunjika kutokana na tatizo hili. Je, hakuna haja ya kuitisha mjadala wa kitaifa? Taifa letu linaangamia kwa kukosa maarifa.

Hivi upungufu wa nguvu za kiume ni nini? Kifupi ni mwanamume kutokuwa na uwezo wa kutoa mbegu bora zenye uwezo wa kutungisha mimba, au kutosimama kwa uume.

Takwimu zilizopo zinaonyesha kuwa asilimia 60 ya wanandoa nchini wanakabiliwa tatizo hili. Kwa hiyo, mabango ya waganga yaliyopo barabarani hayajapunguza kabisa tatizo hilo.

Hawa watu wanatibu watu au majini? Hapo ndipo kiini cha makala haya. Sababu kubwa ya ongezeko la wenye matatizo haya ni kwamba dawa nyingi zinazodaiwa kuponya tatizo hili hazina viwango vya kuitwa dawa, bali ni vichocheo tu kwani kinachopigiwa chapuo huwa ni kumudu tendo kitandani na si nguvu asilia.
Waganga wengi wameelekeza nguvu zao huko na ni hapo ndipo janga hili la kitaifa linapoota mizizi.

Ukweli ni kwamba upungufu wa nguvu za kiume hauondolewi kwa dawa za kuchochea nguvu wakati wa tendo. Hizi zina madhara makubwa na mara kadhaa husababisha vifo kwa wanamume wengi wakiwa ‘guest’ na vimada wao kwani hulipua moyo.

Ni lazima kiini cha tatizo hili kichunguzwe na tiba stahiki ipatikane. Kinyume cha hapo, janga hili linaweza kugeuka na kuwa dubwana kubwa la kutumaliza.
Matatizo ya nguvu za kiume huchangiwa na kuugua kwa muda mrefu, ugonjwa wa kisukari, kuvaa nguo za kubana sana, mionzi ya simu, kompyuta na mengineyo. Pia dawa za kuua wadudu huleta tatizo hili kwani zina viambata sumu viitwavyo ‘estrogen’, matatizo ya kisaikolojia, kupiga punyeto kwa muda mrefu na kutumia vyakula vyenye kemikali.

Utafiti unasema kuna uhusiano mkubwa sana kati ya upungufu wa nguvu za kiume na kuwa na sumu mwilini zinazotokana na vyakula vyenye kemikali tunavyobugia kwa kupenda au kutokupenda.

Ni kutokana na utafiti huo ndipo dawa bora yenye uwezo mkubwa wa kuondoa sumu mwilini kwa muda mfupi ikagunduliwa. Hii ikiwekwa kwenye kinywaji chochote chenye kemikali, mara moja hutenganisha sumu iliyomo humo.



Dawa hii pia huleta nguvu za kudumu za kiume, hujenga afya na kuleta nguvu asilia. Hutatua tatizo la nguvu za kiume huku ukiondoa pia tatizo la ugumba na ni vizuri wenye matatizo kama hayo wakatumia vyakula vya protini hasa ya mimea kwani hurutubisha mbegu.

Kuna aina 2 ya vyakula ambavyo vimefanyiwa utafiti na kubaini kuwa ni moja ya vyakula vinavyosaidia kuongeza nguvu za kiume na havina madhara katika engezeko la nguvu za kiume, katika vyakula hivyo vyenye uwezo wa kuongeza nguvu za kiume kiasili ni:

1. TANGAWIZI

- Tangawizi ni moja ya chakula kinachoweza kurejesha nguvu za kiume, unaweza kuichemsha tangawizi na ukatumia kwa kuinywa kama chai Asubuhi, mchana na jioni pia Tangawizi unaweza ukaitumia katika mchanganyiko wa kiasili kwa kutumia habat soda,asali,kitunguu saumu na tangawizi yenyewe.

JINSI YA KUTUMIA MCHANGANYIKO HUU:

Chukua tangawizi na kitunguu saumu vitwange kisha vichanganye na asali pamoja na unga wa habat soda na uwe unakunywa mchanganyiko huu kwa kutumia kijiko cha chai kimoja kutwa mara 3 kwa muda wa wiki moja na utaona mabadiliko.

2. TIKITI MAJI:

-Chakula kingine kinachosaidia katika upande wa kuongeza nguvu za kiume ni tunda la Tikiti Maji, unaweza ukachukua tikiti lako ukalikata na kutengeneza juice ya Tikiti kisha unakunywa ila sio lazima utengeneze Juice hata lenyewe tu unaweza ukalila. Ila jitahidi kutumia tunda hili hata kila siku kwani linasaidia sana kwa wenye matatizo ya nguvu za kiume.
Unga wa habat ndio unga gani huo

By the way, nadhani mtu atakayegundua dawa ya kuongeza nguvu za kiume ambayo ni natural na isiyo na madhara (addiction) anaweza kuwa bilionea
 
Chukua tikiti tengeneza juicy yake bila kuweka maji....saga tangawizi kiasi kisha mix na juicy yako ya tikiti ila usiweke sukari. Ni balaaaaa
 
Hakuna kitu kinaitwa upungufu wa nguvu za kiume kwa mwanaume ila kuna ukosefu wa nguvu za kiume na hakuna tiba ya ukosefu kwani ni maumbile yaani mtu hawezi kabisa kudindisha
Upungufu unaosemwa na watu wengi unasababishwa na mtu kutojiamini katika tendo au kukosa hisia za moyoni na anayefanya nae so unajua wanaume tunaweza fanya na mwanamke ili kupunguza hamu tu hapo ndio unaposhindwa ku-perform vizuri na jina la upungufu wa nguvu za kiume litatokea
Mwanaume mwenzangu tafuta mwanamke umpendae kwa dhati utafurahia tendo la ndoa
 
Huu mchezo unahitaji kujitoa ufaham wote wawili,
Namanisha kuwa mwanamke anaposex kwa dhana ya kumlidhisha mume, nje ya kujilidhisha mwenyewe hapo mchezo hawezi kunoga.
Vivyo hivyo kwamwanaume.
 
Huu ukosefu wa nguvu za kiume ni mind set tu banah
Hakunaga kitu kama hicho hii ni kulingana na uchunguz wangu..
Kunasiku mtu unaweza panda juu ya papuchi unajikuta tackle mbili tu wazungu hawa hapa lkn cha ajabu zaidi wakati mwingne unapatana na papuchi ile ile lkn mweny papuchi atasimulia
Umesoma vizuri Uzi wangu na sababu nilizoziainisha mkuu .
Labda maelezo yake hayako wazi kuwa anaunga mkono au anapinga! Binafsi nahisi amekuunga mkono. Amekiri kuwa ni kweli swala la upingufu wa nguvu za kiume ni mindsets tu sometimes.. Na ametoa 7bu zake. But kama alikua tofauti atakuja kusema.
 
Acha fanya mazoezi tafuta mpenzi kula vizuri ukweli ni kwamba upungufu unaotokana na punyeto hutibika kwa we kuacha na kwa mda mrefu kidogo kama miezi sita na kuendelea uume huimarika na siku za mwanzo utapata pre mature ejaculation ila baadae utakaa sawa na baada ya hapo usifanye tena
hapo ni kweli kabisa
 
Kwa kipindi fulani, nalikuwa nafatilia kwa ukaribu, juu ya hii swala.

Nilipitia changamoto zilizonifanya nikaanza jifunza hizi habari.

Thanks GOD nime recover vema kabisa, nimeona nianzishe ka group ambapo GENTs tutakuwa tunapeana muongozo, makumbushano n. K

Ntashare experience yangu inaweza kukusaidia kukaaa sawa.

Gents.


Feel free kujoin, kwa wale wenye shida na hata wasio na shida.

Then kuanzia kesho, tutaanza peana ABC,

BUREE, hakuna kuuziana dawa wala nini, kila kitu unacho kiitaji kipo hapo ulipo, wauza dawa wasije na matangazo yao humo.
 
Jinsi ya kuongeza nguvu za kiume.

Kwanza unatakiwa ujue kwamba hakuna dawa ya kuongeza nguvu za kiume Bali zipo za kubusti tu na kukupa power kwa wakati husika,

Pili unatakiwa ujue kwamba ukishaanza kumeza dawa za kubusti wenyewe ndio mnaziita za kuongeza nguvu za kiume basi ujue wewe ni kama mgonjwa wa dawa za kulevya hauwezi kuperform mpaka ujibusti na dawa.

Hakuna mwenye upungufu wa nguvu za kiume wa kudumu Bali stress za maisha,Cycology ya mtu aliyojijengea na baadhi ya vyakula ndio vinavyosababisha

Fanya yafuatayo wish utakuwa Normal tu.

1: kunywa Maji mengi kila siku

2 :Fanya mazoezi

3:kula ushibe hapa ni pa kuzingatia sana siyo kila vyakula unafakamia tu.

4:Ondoa mawazo ya kwamba hauna nguvu za kiume.

5:Ralaxe na ujikubali kwamba hauna hilo tatizo.

NB;Achana na matapeli wanaosema wana dawa za kuongeza nguvu za kiume wakati dawa kuu ya Nguvu za kiume ni wewe mwenyewe.!
Yah hapo ni kweli nimekubali kabisaaaa mkuu
 
MIMI NASEMAGA KWAMBA:UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NDO UNALETA MSONGO WA MAWAZO AU STRESS,LAKINI STRESS KAMWE HAZIWEZI KULETA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME KAMWEEEEEEEE

Yaani mkuu ukiwa na uchache wa nguvu za kiume ndo stress zinapoanzia hapo mpaka unashindwa kusimamisha.

Kichwa cha chini kina nguvu sana zaidi ya hizo stress mkuu.

Wanaume wanabakwa na bado wanasimamisha tu kwa sababu mwanaume wa sawa akiona papucher lazima asimame tu.

Mkuu ukiwa na nguvu za sawa sawa hata uwe na stress utapiga mzigo tu tena utachelewa hata kukojoa ila usiniambie kwamba stress zinaweza kukufanya eti usisimamishe kabisa au uume uwe legelege?

Sio kweliii kabisa.

Utakuta mtu kapiga sana punyeto mpaka mishipa ya uume imelegea lege lege uume ukisimama unaangalia nyayoni na umelegea huyu asisingizie stress kabisa.

Zipo dawa za kiasili kama tangawizi,kitunguu swaum,asali vyakula vya asili mbali mbali na matunda.

Ila tuu sikubali etii stress ndo zinaleta upungufu wa nguvu,ukweli ni kuwa upungufu wa nguvu ndo unaleta stress.

Mwanaume akienda kwenye tendo akapafom vibaya hapo ndo ataanza mawazo kwa kuwa ameshajijua hana uwezo.na sio atoke huko eti amejiandaa kabisa kuja kusex na mkewe alafu shoo mbaya aseme stress??? Sasa muda wote huo hukujua tuu mpaka ujue wakati hali imekutokea?

Mm naona NGUVU ZIKIPUNGUA NDO CHANZO CHA STRESS.
 
Back
Top Bottom