...mkuu natumia qsat g15t account avatarcam,nimebakiza siku 20 kuexpire .Ni account gan nzuri,channel hazisramble.....
......decoder ina option account avatarcam na DQCAM je naweza kutumia tofaut na hizo?
pia nilitaka kujua channels za kibongo nitazipataje hapa star TV ndo inaonyesha,TBC na ITV zipo kwenye list ila hazifungui.nipo Iringa nipe na bei za hizo accounts
nipo Iringa nipe na bei za hizo accounts
mkuu natumia qsat g15t account avatarcam,nimebakiza siku 20 kuexpire .Ni account gan nzuri,channel hazisramble.decoder ina option account avatarcam na DQCAM je naweza kutumia tofaut na hizo? pia nilitaka kujua channels za kibongo nitazipataje hapa star TV ndo inaonyesha,TBC na ITV zipo kwenye list ila hazifungui.nipo Iringa nipe na bei za hizo accounts
- Chukua CCcam account
- Kama nafasi ya kifedha inaruhusu weka zote a1star CCcam pamoja na Tv1 CCcam hapo ni hakika utafurahia QSAT Q15 yako
- Zipo option nyinge
- Click MENU >> XCAM setup >> SHARING - Hapo kuna option ya kuweka CCcam account
- Kwa local channel zote nakushauri, pata dish la futi sita, Utafungiwa LNB mbili, hii ni option ya kwanza
- LNB moja itakuwa maalumu kwa ajiti ya kufungua PAYTV
- Na LNB ya pili utasetiwa ili kupata Local channel zote
- Na huu ndio uzuli wa hii QSAT kwamba unatumia kupata Local Channel na Paytv Channel
- Kwa swala la Bei pamoja na upatikanaji wa FULL HD, MPEG4, DVB S2 receivers Click HAYA maandishi
Mwl RCT naomba unisaidie,nina receiver Speed HD S1,nimeweka account mbili yaani A1 Star na TV1 cccam lakini naona freezeing zimezidi sana.Hakuna siku nikaangalia japo bila freeze za mara kwa mara.Tatizo linaweza kuwa ni nini?
- Unatumia connection ipi katika internet?
Natumia 3G,na mara moja sana huwa natumia GPRS.Lakini GORS naona yenyewe ndiyo haifanyi vizuri hata kidogo
Chanzo| Mwl.RCTSpecifications
1.TWIN😀VB-S2 HD Receiver and GPRS Adapter
2.GPRS:GPRS Adapter/GPRS RS232 software upgrade
3.SAT😀VB-S2 Receiver
Main Features
1. Accounts embedded, all channels free for 1 year
35.9°E : more than 200 DSTV programs
22.0°W : Canalsat
19.2°E : Astra
Nilesat : JSC and other channels
2. IKS through GPRS(need no external dongle) or 3G networking .
3. Support cccam,newcam,avatarcam.
Interface
⊃2; HD OUT*1
⊃2; USB 2.0 *2
⊃2; ETHERNET*1 (10/100Mbit)
RCA*1 (YPbPr/CVBS/A-L/A-R)
⊃2; CA card slot *1
⊃2; SIM slot *1
⊃2; RS232*1
Net Application
⊃2; Support YouTube, YouPorn.
⊃2; Support N32 Game.
⊃2; Support Yupoo,Picasa
⊃2; Support Google map
⊃2; Support Yahoo Weather.
Ahsante Mwl.RCT
Uzi huu umekua wa msaada mkubwa.. Je nikiwa na hiyo best hd 4u, nawezaje kupata free channel za kibongo,
Na ukiweka hiyo software upgrade inaathiri information za account iliyokwisha wekwa..
Nipo maeneo ya dodoma
Mwl.RCT nimefunga Ku na kupata channel zote za continental, the big challenge nikua zinakwama kwama, sio ku_scratch bali picha na sauti vinakwamakwam tu huwezi kusikia kabisaa kinachozungumzwa, ni channel zote... Any idea please help