Jifunze hapa kuhusu ALBADIR

Jifunze hapa kuhusu ALBADIR

Husika na kichwa cha habar hapo juu,arubadri ni dua inayosomwa kumdhuru mtu aliyetenda jambo ovu,madhara yake ni km yafuatayo:
1.kupoteza kumbukumbu
2.kuongea maneno yasiyoeleweka
3.kusema uongo
4.kuchekacheka hatakama hujachekeshwa
5.kukengeuka
6.kuokota makopo
7.kula jalalani
8.kukimbiza watu ovyo
9.kutembea uchi
10.kuvaa chupi kichwani
Naombeni munisaidid madhara mengine ya albadri na andaa report,niko chuo mwaka wa kwanza
 
Kuvaa miwani na kunyoa upara ktk kichwa chenye bonde katikati....
Kuongea hovyo hovyo huku ukitupatupa mikono huku na kule
 
Kuunguliwa nyumba moto..kuongea hovyo kama lema na Msigwa, amesema ataongea tena hivi karibuni
 
  1. Kulalamika mda wowote na kuona unaonewa kila siku.
  2. kupinga kila kitu hata kikiwa ni faida kwako.
  3. kutotambua mahitaji yako ya msingi.
  4. kutukana hovyo.
 
Husika na kichwa cha habar hapo juu,arubadri ni dua inayosomwa kumdhuru mtu aliyetenda jambo ovu,madhara yake ni km yafuatayo:
1.kupoteza kumbukumbu
2.kuongea maneno yasiyoeleweka
3.kusema uongo
4.kuchekacheka hatakama hujachekeshwa
5.kukengeuka
6.kuokota makopo
7.kula jalalani
8.kukimbiza watu ovyo
9.kutembea uchi
10.kuvaa chupi kichwani
Naombeni munisaidid madhara mengine ya albadri na andaa report,niko chuo mwaka wa kwanza
Mh!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
11. kukataa kusaidiwa.
12. kuitukana nchi yako ukiwa ugenini
13. kuwa na uchungu na mgonjwa kuliko hata wanafamilia wenyewe.
14. ..................
 
Nahisi waliosomewa wamefikia Namba tano hadi leo
Ngoja tusubirie Namba sita kuendelea.
 
Kusoma Halal Badiri au Albadiri (Ahlul-Badr) Kwa Ajili Ya Kinga Na Kuapiza Ni Shirki Na Dhambi Kuu!


Albadir imetoka katika lugha ya Kiarabu lakini kupotolewa au kuandikwa na kusomwa makosa katika Kiswahili. Wapo wanaosema Alibadirilakini makusudio ni Ahlul-Badr, yenye maana watu wa Badr (wale waliopigana vita vya Badr). Badr ni sehemu iliyo karibu na Madiynah na ndio iliyokuwa sehemu ambayo Waislamu wakiongozwa na Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) walipambana na mushirikina wa Makkah katika vita vya kwanza baina ya pande hizo mbili. Waislamu waliohudhuria walikuwa baina ya 313 – 317, lakini pamoja na idadi yao ndogo hiyo waliweza kuwashinda washirikina waliokuwa na idadi kubwa ipatayo mara sita yao.



Kisomo cha Ahlul Badri inakuwa ni kutaja majina ya Maswahaba (Radhiya Allaahu ‘anhum) mmoja baada ya mwingine. Katika kutaja huko ni Imani ya mwenye kusoma hao Maswahaba (Radhiya Allaahu ‘anhum) wanamsaidia kwa njia moja au nyingine. Ima kupata kitu alichopoteza au kilichoibiwa au kulaaniwa aliyefanya. Na hii katika Uislamu ni njia moja ya shirki ambayo Allaah Aliyetukuka na Mtume Wake (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) wameikema na kuipiga vita sana. Allaah Aliyetukuka Anasema:

“Hakika Allaah Hasamehe kushirikishwa, na husamehe yaliyo duni ya hilo kwa Amtakaye. Na anayemshirikisha Allaah basi hakika amezua dhambi kubwa” (4: 48). Shirki ni dhuluma kubwa sana.
Ndio ni shirki na ni dhambi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom