Jifunze EDM production.

Jifunze EDM production.

Raphaeld33

Member
Joined
Mar 1, 2014
Posts
7
Reaction score
6
Stunner Marangi ni music producer toka Dodoma Tanzania anae tengeneza muziki aina ya Electronic Dance Music. Jifunze siri juu ya uwezo wake na tips za production bure yani free of charge. Mtafute WhatsApp +255717343790 kwa maelekezo zaidi au maswali kuhusiana na uwezo wake.

Waweza mcheki Instagram @stunner_marangi
New%20Music.PNG
Shivam%2020190117_063955.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
*Electro Dance Music

Safi sana mungu akutangulie/amtangulie.
 
Nimetokea kuukubali sana huu Mziki aisee, nafurahi sana ninapo msikiliza mtu kama Kygo, Avicii(R.I.P),Neovaii,Galantis,Martin Garrix, Calvin Harris,The Chainsmokers, natamani sana huu mziki ungekuwepo tz kwasababu una mzuka sana, na hua naangalia show zao nje yan watu ni full shangwe sana
 
dah huyo sijawah msikiliza ngoja nimtafute
ila mzee hii mziki sijui inamzuka gani yan ni hatarii, naweza kua nasikiliza geto sauti mpaka mwisho na kucheza mwenyewe kama nimechanganyikiwa , na si unajua miziki hii haina style
 
Electronic Dance Music ndio aina gani ya music?
 
Back
Top Bottom