Naja naja
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 747
- 1,452
Kwenye maisha ya sasa jambo la muhimu la kujifunza ni kuwa na communication skills, skills za kuweza ku interact na kila mtu kwa kuzingatia mapungufu yake na namna ya kuishi naye.
Maisha ya sasa asilimia kubwa ya watu wanapenda sana kubembelezwa na kunyenyekewa sana hivyo huna budi kuishi hivyo ili mambo yako yaende hata kama umewazidi elimu kiasi gani as long as wana kitu muhimu wanachoweza kukupush basi wewe nyenyekea tu na jifunze kuishi nao na Ku interact nao.
Jifunze kuwa na communication skills za kuweza kuzungumza na kila rika iwe wazee, watoto vijana na kadhalika mambo yako yatanyooka sana maana kila mtu kwenye jamii yako atakupenda na upendo wa watu ndio mwanzo wa mafanikio ya kimaisha.