Jide na Gadner warudiana?

Mimi mwanaume nikishamuona na hulka ya kuomba omba vitu mwanamke, mwanaume unaomba ofa, outing,mara kujifanya unaomba kukopeshwa, yaan zile tabia za kuku undergrade kama mtoto wa kiume sijui huwa nakuonaje?.....A real gentleman hafanyagi huu upuuzi asee!

Kuna wanaume wanaogopa hela ya mwanamke kama ukoma! Manaake wanajua inakuja dharau hapa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tabia za kihaya umezoea vya dezo, unaliwa vyote papuchi na pesa pia..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa aliona see akakausha........we demu full kukuita marioo utathubutu kwenda mahakamani?

Jamaa aliamua kumpotezea tu, ndo kipindi kile wanalewa na kibonde hadi wakadakwa na traffic pale ml. City!

Depression!

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu unamsema sana captain but hayuko hivyo wala hajawahi kua na depression,hizo ni bata za kawaida since yuko na jide mpaka wameachana.
Kwani una tatizo nae,jamaa namfaham ila unaongelea opposite ya yeye kabisa

Sent using 007
 
Mimi mwanaume nikishamuona na hulka ya kuomba omba vitu mwanamke, mwanaume unaomba ofa, outing,mara kujifanya unaomba kukopeshwa, yaan zile tabia za kuku undergrade kama mtoto wa kiume sijui huwa nakuonaje?.....A real gentleman hafanyagi huu upuuzi asee!

Kuna wanaume wanaogopa hela ya mwanamke kama ukoma! Manaake wanajua inakuja dharau hapa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hasa ukute wengine shukrani hawana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkishavuana kabla hata mkiachana mkijakutana possibility ya kuvikutanisha ni kubwa mno

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha Jide kaona isiwe tabu chakufia nini, kimsingi huwezi kumuacha mtu unayempenda na mlieishi miaka mingi hata kama kulikua na migogoro ya hapa na pale!

Yale mazoea ya kuwa karibu nae yatakukaanga hamna rangi utaacha ona!
 
Weee...huyu jamaa kamfanyia mambo mengi sana huyu dada khaa!

Alikuwa pia akichukua hizo ndinga zake anawapa mademu zake wadrive while Jide akiwa safarini!

Hujaweka kumpiga hela, mdada katulia lkn mabwana zake mmh!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mwanaume rijali na una access ya ndinga na pesa unaanzaje kumkataa mtoto kama Tunda akileta shobo et kisa kuvumilia polygon kama Jide.
 
Mimi mwanaume nikishamuona na hulka ya kuomba omba vitu mwanamke, mwanaume unaomba ofa, outing,mara kujifanya unaomba kukopeshwa, yaan zile tabia za kuku undergrade kama mtoto wa kiume sijui huwa nakuonaje?.....A real gentleman hafanyagi huu upuuzi asee!

Kuna wanaume wanaogopa hela ya mwanamke kama ukoma! Manaake wanajua inakuja dharau hapa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wity acha mkono wa birika basi, ukitaka kula sharti uliwe kidogo...sasa we unataka kula pekeake?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom