Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,467
Mkishavuana kabla hata mkiachana mkijakutana possibility ya kuvikutanisha ni kubwa mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaija huwa ni matapeli wanaotekeleza utapeli wao kwa ufanisi mkubwa bila kujali muda mrefu atakaopoteza.
Wamemwagana na Spicy.
mzimu wa Ruge umeanza kufanya kazi
Hahahaha Kiungo Kasepa zake.
Kwani mnaijeria alienda wapi
Maisha si ndiyo haya....![]()
Vizuri , huyo G.Habash kumbe mangi
Sent from my iPhone using Tapatalk