Jide na Gadner warudiana?

Mume alishirikiana na wezi wakaenda kumuibia vifaa vya gari ile murano badae watu wakamtonya kuwa gadna alihusika walipukutuisha vitu kama vya milioni ishirini hivi according to jaydee mwenyewe ikabidi afunge safari hadi uganda kufata spea mpya
Duh asante Bint mrembo, ila huyu Mchagga kwa Mkurya hatamuweza mtoto anataka na makofi juu
nasikia kahamia Arusha na juzi alidai Marehemu Ruge alisema zisipigwe nyimbo zake hapo Clouds wakati Jayee D nasikia alikuwa mfanyakazi hapo na akina Amina Chifupa, huenda aligonganisha (mawazo tu)
 
ni kama brad pitt na Jennifer Aniston yote yanawezekana
jennifer+and+brad.png
 
Mume alishirikiana na wezi wakaenda kumuibia vifaa vya gari ile murano badae watu wakamtonya kuwa gadna alihusika walipukutuisha vitu kama vya milioni ishirini hivi according to jaydee mwenyewe ikabidi afunge safari hadi uganda kufata spea mpya
Kuibiwa vifaa vya kwenye gari ndio kulimfanya akosane na clouds?
 
Kuibiwa vifaa vya kwenye gari ndio kulimfanya akosane na clouds?
Ni kama gari lilikuwa linatumika kubebea mbebezi na mista, mama wa vita baada ya kuinyaka hiyo akamnyang'anya gari mista....
Ile kufungiwa fungiwa,mzee wa "kilaji" akaingilia kati, basi ikawa ni timu ya walevi wawili harudi home hadi ndoa ikapasuka (kama aliwapatanisha maana yake alikuwa anaunganisha alichokuwa amekibomoa) vipande viwili.
Kama waliweza kurudiana kipindi cha lile limama(wanaume kama mabinti) basi, kipindi hiki ni rahisi sana. Binti machozi ana mapenzi ya dhati kwake...
 
Mume alishirikiana na wezi wakaenda kumuibia vifaa vya gari ile murano badae watu wakamtonya kuwa gadna alihusika walipukutuisha vitu kama vya milioni ishirini hivi according to jaydee mwenyewe ikabidi afunge safari hadi uganda kufata spea mpya
Weee...huyu jamaa kamfanyia mambo mengi sana huyu dada khaa!

Alikuwa pia akichukua hizo ndinga zake anawapa mademu zake wadrive while Jide akiwa safarini!

Hujaweka kumpiga hela, mdada katulia lkn mabwana zake mmh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha kama unaishi nao vile. Pamoja na hayo huwezi kumuita marioo sema labda mchoyo kumbuka marioo wenyewe hata hiyo hela ya gambe wanapewa
Mimi mwanaume nikishamuona na hulka ya kuomba omba vitu mwanamke, mwanaume unaomba ofa, outing,mara kujifanya unaomba kukopeshwa, yaan zile tabia za kuku undergrade kama mtoto wa kiume sijui huwa nakuonaje?.....A real gentleman hafanyagi huu upuuzi asee!

Kuna wanaume wanaogopa hela ya mwanamke kama ukoma! Manaake wanajua inakuja dharau hapa!

wit hela ni hela hebu nifanyie muamala kidg maisha kusaidiana mbona za kwetu tunatoa bila kujiuliza nyinyi kidg tu inakua balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom