Jicho ndo habari ya mjini

Kwa hyo unapenda kikwapa


Yaani bila hiyo harufu, jogoo anawika tu ila hamu ya kutoa kamasi hana. Na demu akiondoka nabaki nalia kwa kujisikitikia kwa nini nilikubali kudu na mtu asiyenuka kwapa huku nimepoteza nguvu zangu bure.
 
Kuna mwanamama mmoja kiongozi mkubwa yaani ana macho mazuri mlegezo flani hivi...Dah nampendaga sana ila tatizo uwezo na access tu.
 
Kwa ujumla mwili wote wa mwanamke unavutia, macho,mziwa, uso, midomo, mashavu, shingo,nywele, kiuno, hipsi, miguu, kucha, mpangilio wa meno mdomoni, vidole vya miguu, suti nk, nk.

Lakini mimi nafsi yangu hasa inapenda mwanamke mwenye mkia.
[emoji1] [emoji3] Ana Chura[emoji196]
 
Walau na wenye macho Mazuri Leo nao wameonekana maaana kila siku wenye chura tu[emoji41] [emoji41]
 
Kuna mwanamama mmoja kiongozi mkubwa yaani ana macho mazuri mlegezo flani hivi...Dah nampendaga sana ila tatizo uwezo na access tu.
Nimesha mjua, yaani hata mimi hoi kwake basi tu sina namna
 
Mimi ugonjwa wangu kwa mwanamke ni vidole vya mikononi na kucha zake pia vidole vya miguuni na kucha zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…