Jicho ndo habari ya mjini

Sa mbona hujaweka wenye macho mazuri! Hao wote wamechora macho. Kioa mwanamke akichora macho yanapendeza.
 
kwng nasali na kupeleka sadaka kwa Mungu anipe mrembo mwenye mkia wa kutosha,chuchu zimejaa na hips kiaina.Then awe amebinuka kidogo.Masuala ya tabia nzuri nitamnyoosha tu!!
 
mimi navutiwa na hawa
1. mwenye vichunusi vifuani au mgongoni
2. mwenye meno mawili ya juu yaliyo mbele yawe makubwa na yameshikana
3. vidole virefu na mikono laini
4. mweupe
5. miguu minene kiasi
6. chura mdogo
7. urefu wa washani
Aisee wewe weka oda Mungu akuumbie.
 
Tatizo vijana wengi wa karne ya 21 wamekua Addicted saaana na Ponography kiasi ya kwamba wako na attractions ambazo sio natural bali ni za kubadilishwa akili zao. Vitu kama macho, urefu, ufupi, rangi ya mwili wake, sauti ni vitu Natural mwanaume kamili akiviona anakua attracted. Kwanza asiwe na kitu chochote kizuri still mwanaume you will be tempted Na Huyo mwanamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…