Jicho letu ndani habari Startv, Moses Methew kimeo?

Jicho letu ndani habari Startv, Moses Methew kimeo?

simaye

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
426
Reaction score
214
Mimi sijawahi kabisa kusomea uandishi wa habari lakini nafuatilia sana habari.
Naona Moses Methew anaonekana kuwa na uelewa mdogo sana kuhusu uandishi wa habari na hasa za Magazeti.
Siku Magufuli alupochukua fomu magazeti yote habari ilikuwa kama ilivyokuwa siku ya Lowassa.
Ukipewa nafasi ya kuchambua habari katika chombo cha habari na hasa live tv ni vema ukajipima na kujiweka katika mlengo wa kati.

Vyombo vya habari kuandika zaidi juu ya Lowassa siku ya kuchukua fomu na namna watu walivyojitokeza hakuna lugha nyingine ya kutumia zaidi ya walivyoandika.
 
Mimi sijawahi kabisa kusomea uandishi wa habari lakini nafuatilia sana habari.
Naona Moses Methew anaonekana kuwa na uelewa mdogo sana kuhusu uandishi wa habari na hasa za Magazeti.
Siku magufuli alupochukua fomu magazeti yote habari ilikuwa kama ilivyokuwa siku ya Lowasaa.
Ukipewa nafasi ya kuchambua habari katika chombo cha habari na hasa live tv ni vema ukajipima na kujiweka katika mlengo wa kati

Vyombo vya habari kuandika zaidi juu ya Lowassa siku ya kuchukua domu na namna watu walivyojitokeza hakuna lugha nyingine ya kutumia zaidi ya walivyoandika.

Ulikuwa humfahamu mosesi ni kimeo sikunyigi sana simpendi nilisisiemu halisi hafai.
 
Nashindwa kabisa kuelewa kwa nini Star TV huwa wanamualika mtu mwenye uelewa mdogo namna hii..
 
Watangazaji wanalengo la kumfitini Lowassa hawana cha ziada
 
Kama uchambuzi wenyewe unaweza kuwa hivi basi mwanza hakuna wachambuzi na hawa startv wanamtumia sana sijui kwa nini?

Moses hana uwezo na sidhani kama amesomea uandishi wa habari au kanjanja.

Aibu sana moses hebu badilika, unapewa airtime nyingi sana lakini huzitumii vizuri na unaishia kujidharirisha kwa watazamaji wako.
 
Nakupongeza sana ndugu Kumubemba unaomesha dhahiri uwezo mkubwa.
Wandishi walichoandika ndicho kilichotakiwa kuandikwa na ndio uhalisia.

Kutaka kuandika vinginevyo isingewezekana na ikumbukwe kuwa magazeti yanaendeshwa na matukio ya siku.
 
huyo moses ni mweupe sana, star tv nao wanamatatizo, huwa hawafanyi tathmini ya wageni waliowaalika!! hopeless!!!
 
Back
Top Bottom