Jicho langu limeniponza!

Jpinduzi

Senior Member
Feb 26, 2011
136
68
getyourbuttinshape[1].jpg
images


VIJANA WENGI tumepotea hapo,tuonapo basi tunataka kutimiza ile macho imeona,na hii ni hatari sana!Hebu tuwaulize na madada wanaovaa hivyo wana malengo gani?au ndo biashara yenyewe iko sokoni?Hata kama ni sokoni,je wale madada wanaovaa hivyo hali wanajua kuwa ni wake za watu wanakuwa wamenuia kufanya nini?au wanakuwa kwenye mazingira ya kusaliti ndoa zao?Anyway sijui bwana lakini nachoomba Kijana simama imara usije ukalaumu jicho kuwa limekuponza!Wengine wakianguka katika zinaa, utawasikia wakijitetea na kusema; "Nilibanwa mno hata nikashindwa kujizuia – nikaanguka katika zinaa."
Unaweza ukajitetea hivyo, lakini ungeamua kushinda, Bwana angeuwezesha kushinda. Kwa kuwa imeandikwa; " Ninyi watoto wadogo mwatokana na Mung; nanyi mmewashinda, kwa sababu yeye aliye NDANI YENU NI MKUU KULIKO aliye katika dunia." (1 Yohana 4:4) " Lakini katika mambo hayo yote TUNASHINDA NA ZAIDI YA KUSHINDANA kwa yeye (Yesu Kristo) aliyetupenda (Warumi 8:73)
 
Asante kwa kuhubiri with vivid examples ila inataka moyo na nguvu ya ziada kuhubiri ukiwa na zana ya kufundishia kama hii maana wanafunzi wako badala ya kukuelewa waweza kuwapotosha kabisa! Next think of abstract teaching or preaching aid.
 
Hebu imagine Mwalimu wa Biology angeenda kufundisha wanafunzi wa kidato cha tatu topic ya Reproduction ya Mwanadamu halafu ndio akaja na teaching Aid yake ya viungo vya uzazi.....!!
 
Dhambi ya namna hii huanza kwa kuona, then moyo unapenda, na kisha mwili unatamani kufanya kila moyo unachovutiwa nacho. Ni vizuri kuwa na msimamo hata kama uliyemuona anavutia kiasi gani, usipofanya hivyo utaangukia kwenye vifua vya watu wangapi wa dunia hii?
Mambo yakikuzidi, mnunullie huyo mpenzi wakohizo nguo awe anakuvalia hivyo chumbani kwako kila siku ili ushinde majaribu kama haya, looh!
 
Haya jamani mme sikia? msije kusema nilaumu macho yangu au moyo! mkiona watu wamevaa kiasara asara nyie fungeni macho anaglieni na magari lakini .....
 
Haya jamani mme sikia? msije kusema nilaumu macho yangu au moyo! mkiona watu wamevaa kiasara asara nyie fungeni macho anaglieni na magari lakini .....

Mmmm yahitaji moyo saana. Maeneo ya mwenge stendi ya mabasi ndio kabisaaaa......, unaweza ukasahau kama ubo bongo...., nadhani ni jua kali ndo linawafanya wavae vile........, but ni mtazamo tu.......!
 
Back
Top Bottom