Jicho langu huwasha na kuwa jeusi


K

kadon

New Member
Joined
Nov 20, 2016
Messages
2
Likes
0
Points
3
Age
48
K

kadon

New Member
Joined Nov 20, 2016
2 0 3
Habarini wadau,mm ninatatizo la kuwashwa na jicho na kutoa machozi kisha kuwa jeusi kuzunguka kope pindi ninapohisi kuumwa,husababishwa na nini.
 
K

kadon

New Member
Joined
Nov 20, 2016
Messages
2
Likes
0
Points
3
Age
48
K

kadon

New Member
Joined Nov 20, 2016
2 0 3
Habarini wadau,ninatatizo la kuwashwa na kutokwa na machozi kisha jicho kuwa jeusi kuzunguka kope pindi ninapohisi kuumwa homa,
 
measkron

measkron

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
3,783
Likes
455
Points
180
measkron

measkron

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2011
3,783 455 180
Pole mkuu hii huwezekana ni allergy jaribu kuchunguza ni wakati gani unapata zaidi hiyo hali. Mara nyingi ni pale unapokuwa exposed to triggers za allergy. Ukishajua unaweza kuepuka hivyo visababishi .
 
M

Mjep

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2014
Messages
689
Likes
477
Points
80
M

Mjep

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2014
689 477 80
Pole sana mkuu, naamini wataalamu watakushauri nini cha kufanya ila ili kuwapa wepesi zaidi, ni vyema ukatoa historia kidogo tatizo limekuanza lini na hali hiyo huchukua muda gani hadi hali inaporejea kuwa kawaida.
 

Forum statistics

Threads 1,273,060
Members 490,262
Posts 30,469,631