Harmonize angeupload video aliyoangua na kuandika kichwa cha habari "Jinsi nilivyoanguka uwanja wa taifa siku ya wananchi" ,angekula sana hela za views
Harmonize angeupload video aliyoangua na kuandika kichwa cha habari "Jinsi nilivyoanguka uwanja wa taifa siku ya wananchi" ,angekula sana hela za views
Wanaosema historia ni mwalimu hawajakosea kwan kipind Diamond anatengeneza kesho yake (leo) kweny muziki wake, wajanja km kawaida yetu tulimcheka na kumwita majina mengi km domo, anajifanya, anaringa, yule mtoto ana sifa sifa, eti nae ana mabodigadi, eti nae anafanya show kwa mamilion kwa mziki gan, eti, eti, eti, eti kibaooooo mwishoe kawa mjanja yeye na Tajiri kawa yeye sisi tumebaki pale pale, tunarudia tena kwa Konde boy.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.