Jicho kucheza/kutikisika chanzo na dawa yake ni nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jicho kucheza/kutikisika chanzo na dawa yake ni nini?

Discussion in 'JF Doctor' started by Nasema, Apr 14, 2012.

 1. Nasema

  Nasema JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 558
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Wadau wa JF Doctor naomba mnisaidie.

  Kwa kipindi cha takribani wiki mbili sasa jicho langu la kushoto limekuwa linacheza sana sehemu ya juu (inayoshikilia kope) na kusababisha jicho zima kucheza hadi wakati mwingine nalazimika kulifumba kwa muda. Hali hii imekuwa inatokea kwa vipindi tofauti kwa wastani wa kama kila baada ya dakika 45 hivi. Nini maana yake na nifanyeje ili nitatue tatizo hili?

  Natanguliza shukrani.
   
 2. k

  kitero JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ngoja wataalamu wapitie huku watatueleza,nasubiria majibu kwa hamu hata mimi ninatatizo kam alako
   
 3. m

  maranatha Member

  #3
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  nina tatizo kama hilo pia,jicho hilohilo na muda takribani ni huo huo,niliuliza watu wakaniambia kiimani kwamba nitaona jambo litakalonisababisha nilie.ulipotokea msiba wa kanumba likatulia kwa siku mbili likaanza tena mpaka leo sasa sijui nini kitatokea au ni imabi tu!!!
   
 4. Red Giant

  Red Giant JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 9,497
  Likes Received: 5,979
  Trophy Points: 280
  mi mwenyewe nina tatizo kama hilo zaidi ya miaka kumi sasa linanitokea hadi nimekuwa mshirikina yaani najua likicheza namna fulani basi jambo baya litatokea, namna nyingine ntapata kitu kizuri na mara nyingi huwa kweli in another side tatizo hili kitaalamu huitwa tics yaana kunakuwa na involutary movement of muscles hasa facial muscles na kuna dawa zake ila sijabother kuzikariri maana sioni shida yoyote
   
 5. h

  haki na usawa JF-Expert Member

  #5
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 476
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  "KWA KIASI (95%) KIKUBWA ISHARA ZA JICHO LAKO HUTOA KAMA IFUATAVYO"
  Mara nyingi jicho huashiria kuona kitu cha furaha(mfano mshiko/pesa) kwako kama linacheza juu kushoto
  Kama chini mara nyingi huashiria kulia/kutoa machozi ya uchungu/kuna huzuni inakukakiribia
  Kucheza kulia juu mara nyingi huashiria kuona mwili mfu/mwili wa aliyekufa
  Kucheza kulia chini mara nyingi huwa ni kicheko/furaha ya kucheka hadi machozi kutoka

  " KAMA LINEMANISHA VIZURI OMBA MUNGU AKUPE MWONGOZO NA KAMA LINAEMANISHA VIBAYA OMBA MUNGU AKUEPUSHE HUZUNI/SHARI INAYOKUJA MBELE YAKO"
   
 6. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145

  Hayo maoni kama yako hata mimi nishayasikia sana ingawa kwa kweli sijayatilia sana maanani lakini nakubaliana na wewe nafikiri hii haitofautiani sana na nyayo kuwasha au mguu wa kushoto au kulia wengine watakuambia una safari au una wageni wanakuja na viganja kuwasha au mkono wa kushoto watakwambia kuwa utapokea chochote kizuri na ikiwa mkono wa kulia basi wewe ndio utatoa.
   
 7. S

  SWEET GIRL JF-Expert Member

  #7
  Jan 2, 2013
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 60
  Heri ya mwaka mpya,
  wadau ninapatwa sana na hali ya jicho kucheza na si jicho hasa bali ni hii part ya juu ambayo inabeba kope yaan imekuwa ni kero na sijui husababishwa na nini na pia ningependa kujua dawa yake.
  naomba kuwasilisha.
  Asante
   
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  Jan 2, 2013
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Itaisha baada ya muda mfupi. Ni inbalance tu ya cations mwilini, itajirekebisha yenyewe. Usiiunganishe na imani yoyote. Pole, huwa inakera kweli!
   
 9. Petro E. Mselewa

  Petro E. Mselewa Verified User

  #9
  Jan 2, 2013
  Joined: Dec 27, 2012
  Messages: 7,281
  Likes Received: 9,478
  Trophy Points: 280
  Usisogee karibu na muziki dada
   
 10. S

  SWEET GIRL JF-Expert Member

  #10
  Jan 2, 2013
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 60
  Asante kwa majibu mazuri
   
 11. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #11
  Jan 2, 2013
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Inasemekana hiyo huwa ni dalili ya ku-gain weight!
   
 12. Aggrey86

  Aggrey86 JF-Expert Member

  #12
  Jan 2, 2013
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 856
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Pole sana mi mwenyewe huwa inanitokea mara kwa mara lakini badae linaacha!
   
 13. john tongo

  john tongo JF-Expert Member

  #13
  Jan 2, 2013
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  jf ,kituo cha kutoa stress
   
 14. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #14
  Jan 2, 2013
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Kweli sana. Muziki? Sijui utakuwaje ngoma ya mabomu ya Mbagala.Sipati picha.
   
 15. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #15
  Jan 2, 2013
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Hapo kuna mgeni au zawadi inanukia
   
 16. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #16
  Jan 2, 2013
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,346
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  Usivae mavazi mekundu. Ukilala elekea kusini.

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 17. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #17
  Jan 2, 2013
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,169
  Trophy Points: 280
  Kusini magharibi mwa kitanda
   
 18. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #18
  Jan 3, 2013
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Ni kweli hili wengi huhusisha na imani za ajabu ni mucheza kwa misuli ya jicho... occular muscles spasm
   
 19. Marumia

  Marumia JF-Expert Member

  #19
  Jan 3, 2013
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 649
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ukichanganya na hyo kofia ulioitupia lazma niamini...
   
 20. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #20
  Jan 3, 2013
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Dawa yake ndogo sana,likianza kucheza tu we zima muziki litaacha
   
Tags:
Loading...