Jicho halina pazia.

mmmmh hiyo ni style ya kusimama au ndio alivyo???mbinuko gani huo mtu anakua kama namba 2.....atakua mlemavu akilala lazima aweke mto mgongoni kusupport mwili vinginevyo kiuno kitamuuma sana........
 
hehehehehe, naomba namba yake ya simu plz. Masanilo upo? Umemuona mrembo?

Pape namba ya simu hii hapa bana ...


attachment.php
 

Attachments

  • beauty.jpg
    beauty.jpg
    61.3 KB · Views: 257
Hii imevalishwa tu, wala sio umbo lake!!! Kazi ya wachina hiyo. Siku hizi zinauzwa kibao kariakoo!!!
 
Hapo unakaa kabisa ukienda naye bar anakuwa meza mkisimama ukichoka kushika kinywaji unaweka hapo
 
Hapo unakaa kabisa ukienda naye bar anakuwa meza mkisimama ukichoka kushika kinywaji unaweka hapo

Mtoto kama huyo ukiingia nae bar bia zinagoma kwenda kwenye midomo..vinginevyo utaishia kujimwagia bia kwenye sarawili ...lazima mimacho pima ikutoke..
 
Back
Top Bottom