livewise1 JF-Expert Member Joined May 25, 2019 Posts 837 Reaction score 972 May 27, 2019 #21 Mung Chris said: Baby nakuomba elfu hamsini, Jibu kama mwanaume/ mwanamke ulie choka kuombwa pesa hovyo hovyo !! View attachment 1109345 Click to expand... Nikutumie na ya kutolea?! Baada ya hapo natulia kamda...akinitafta namwambia nishatuma ila nimekosea muamala. Siku imepita.
Mung Chris said: Baby nakuomba elfu hamsini, Jibu kama mwanaume/ mwanamke ulie choka kuombwa pesa hovyo hovyo !! View attachment 1109345 Click to expand... Nikutumie na ya kutolea?! Baada ya hapo natulia kamda...akinitafta namwambia nishatuma ila nimekosea muamala. Siku imepita.
Dharra JF-Expert Member Joined Jun 23, 2017 Posts 1,661 Reaction score 2,973 May 27, 2019 #22 kweli sasa Maisha yamekuwa magumu sasa elfu 50 kitu gani wakuu. Mnajidhalilisha mjue
MR LINKO JF-Expert Member Joined Aug 20, 2016 Posts 3,034 Reaction score 3,578 May 27, 2019 #23 Huyuu kila siku vocha pesa. Nika sema kwangu sio kesii. Sasa kuna siku kanikuta vibayaa. Maana imekuwa too much. (Mizinga)
Huyuu kila siku vocha pesa. Nika sema kwangu sio kesii. Sasa kuna siku kanikuta vibayaa. Maana imekuwa too much. (Mizinga)
mhuri25 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 3,523 Reaction score 4,960 May 28, 2019 #24 Siwezi kuingilia majukumu ya wazazi wako!!