Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,473
- 4,007
Si juzi tu nimekupa hela ww...acha mzaha na hela hiki sio kipindi cha JK hela ni adimu...pumbavu...na nimesema hayo mawigi sitaki kukuona nayo mana najua ndo yanakumalizia hela..shenzi kabisaBaby nakuomba elfu hamsini,
Hili ndio jibu la kiumeni.Njoo gheto uchukue
Naona wazee wakutoa cash πNjoo gheto uchukue
Njoo gheto uchukue
Kabisa mkuu lazima achezee hakuna pesa ya bureUmetisha sana zero akija geto unamzawadia dushe kabisa
[emoji16][emoji16][emoji16] Cash with actionNaona wazee wakutoa cash [emoji16]
Hakuna kitu cha bure mkuuHili ndio jibu la kiumeni.
Lazima aifanyie kazi hiyo hela
πππ naelewa naelewa mzee. Tena anaweza kuambulia action without cash[emoji16][emoji16][emoji16] Cash with action
Ndio maanake mkuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23] naelewa naelewa mzee. Tena anaweza kuambulia action without cash
Niko bize kidogo nakuchek...kimyBaby nakuomba elfu hamsini,
Jibu kama mwanaume/ mwanamke ulie choka kuombwa pesa hovyo hovyo !!
View attachment 1109345