Haya maswali magumu kwa theory.Mlio jibu wote hamna akili mnashindwa ata kupotezea.
Weka number nitakulushia ila jibu Maswali Kwanza.Majibu yapo,tatizo bei hujaweka.mjini hapa kuuliza jero kupelekwa buku.
Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
Childish
Inabidi tuyajenge tuweze kupata majibu ya hayo maswali.
Utakuwa ndio umevunja Ungo...!!
Hunter hunter...utanipa tenda ya matofali kama vipi naona mnataka kujengaInabidi tuyajenge tuweze kupata majibu ya hayo maswali.
Yap yapUpo sahihi
Poa poa hunter ni kuleta hayo matofali nasubiri ruhusa ya mrembo geesten66Hunter hunter...utanipa tenda ya matofali kama vipi naona mnataka kujenga
sawa hunter tusubiriPoa poa hunter ni kuleta hayo matofali nasubiri ruhusa ya mrembo geesten66
Tobaa[emoji15] [emoji15]1.Nini maana ya mapenzi
2.Taja aina mbili( 2 )za mapenzi
3.Tofautisha kati ya busu na Denda
4.Eleza maana ya kupapasa
5.Ni sehemu gani ya mwli ambayo haishikwi kabisa wakati wa kupiga PAPUCHI
6.Eleza hatua zinazo fuatwa kabla ya kufanya mapenzi
7.Taja Umuhimu wakuwa na mpenzi.
Mwisho.
Sikuwezi umenishinda tabia, PM yako iko wazi nije?Hahahahah