JIBU HESABU YANGU WENGI MTAFELI HAPO

JIBU HESABU YANGU WENGI MTAFELI HAPO

63! Nitafeli masomo yote sio hisabati

Sent using Jamii Forums mobile app
Na utafaulu masomo yote lakini sio hesabu
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mleta uzi katumia namba za upande mmoja tu kutoka juu hadi chini kwa kuzidisha ya namba ya juu na ya chini yake(series), jibu kuliweka kwenye namba ya juu.
Mtego upo kati ya 9 na 7 ambapo pana nane ambayo ameizidisha na saba kapata 56.
Jibu la mwisho kwenye 9+9=9*(8)=72
 
Mkuu mtoa mada mtego wake upo kwenye namba husika ukiizidisha yenyewe na ukijumlisha kwa yenyewe, angalia hapa
4x4 = 16+4=20
5x5 = 25+5=30
6x6 = 36+6=42
7x7 = 49+7=56
Ameruka 8 lakini
9x9 = 81+ 9 = 90 ✓

"ᵀʰᵉ ᶠⁱʳˢᵗ ʳᵘˡᵉ ᵒᶠ ʷᵃʳ ᵃⁿᵈ ᵇᵘˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱˢ ᵗᵒ ᵏⁿᵒʷ ʸᵒᵘʳ ᵉⁿᵉᵐʸ"
 
72
Screenshot_2019-01-27-15-57-50.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mtoa mada mtego wake upo kwenye namba husika ukiizidisha yenyewe na ukijumlisha kwa yenyewe, angalia hapa
4x4 = 16+4=20
5x5 = 25+5=30
6x6 = 36+6=42
7x7 = 49+7=56
Ameruka 8 lakini
9x9 = 81+ 9 = 90 ✓

"ᵀʰᵉ ᶠⁱʳˢᵗ ʳᵘˡᵉ ᵒᶠ ʷᵃʳ ᵃⁿᵈ ᵇᵘˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱˢ ᵗᵒ ᵏⁿᵒʷ ʸᵒᵘʳ ᵉⁿᵉᵐʸ"
Nakubaliana na hoja yako mkuu, hilo somo nimeachana nalo miaka 20 iliyo pita. Ahsante kwa kunielewesha
 
Subiri MziziMkavu atoe jibu.
[emoji23][emoji23][emoji23] Haya bwana asiyekubali kushindwa si mshindani [emoji119][emoji119]
Mkuu mtoa mada mtego wake upo kwenye namba husika ukiizidisha yenyewe na ukijumlisha kwa yenyewe, angalia hapa
4x4 = 16+4=20
5x5 = 25+5=30
6x6 = 36+6=42
7x7 = 49+7=56
Ameruka 8 lakini
9x9 = 81+ 9 = 90 ✓

"ᵀʰᵉ ᶠⁱʳˢᵗ ʳᵘˡᵉ ᵒᶠ ʷᵃʳ ᵃⁿᵈ ᵇᵘˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱˢ ᵗᵒ ᵏⁿᵒʷ ʸᵒᵘʳ ᵉⁿᵉᵐʸ"
Asante kwa kunitoa tongotongo[emoji120]
 
But it could also be 100, kama utaangalia gap kwenye majibu.
Kutoka 4+4 Hadi 5+5 kwenye jibu kuna gap ya 10 (30-20)
Kutoka 5+5 Hadi 6+6 kuna gap ya 12
Kutoka 6+6 Hadi 7+7 kuna gap ya 14
Since there's no hard rule, then mtu angefikiria kwamba gap ya 7+7 Hadi 8+8 ingekuwa ni 16 na gap ya kutoka 8+8 Hadi 9+9 ingekuwa ni 18, bringing the answer to 100. There's more than one way to skin a cat
 
90

Logicaly
Ni trend ya hyayo majibu unaona ukizidisha namba ya mwanzo na namba inayofuatia swali la pili unapata jibu la kwanza.

So

4+4=20 = 4x5
5+5=30 = 5x6

9+9 = 90 = 9x 10
 
Back
Top Bottom