wise samura
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 515
- 299
Nimependa decoration yahapo ulipotwanga photo
Hawa takataka wapo kibao facebook ila sasa viwanaume uji wanaoacha namba na kuvisifia ndo vinavimba kichwa wengine wanajikuta empress kumbe wanawake wa kweli wametulia majumbani mwa waume zao na familia zaoKuna mmoja anaitwa Regina Mtungi huko fb nadhani atakuwa katoka tumbo moja na huyu boya.
Au wazaze wake wangepeleka sokoni wamuache apo wapewe gunia la viazi ingesaidia sana..Nalihurumia titi ulilonyonya, ilikuwa ni hasara tupu. mamaa angelijua angenyonyesha ndama jike leo wangekuwa matajiri
Vilike vya makware wa fb ndo vinamdanganyaNani kamwambia mwili wake ni wa thamani? Hapa Tanzania chenye thamani ni SUKARI tu kwa sasa!
Yap on flesh "liljustine= young justine= Felix justine"kwa hiyo liljustine21 anaitwa Felix Justine!