Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,554
- 97,972
Post ya kule umetoka kukataa uke wenza ww
Hebu soma mada ilivyo na nilichokijibu
Post ya kule umetoka kukataa uke wenza ww
🙆🙆🙆🙆yeah mvua ndio sababu
🙆🙆🙆🙆yeah mvua ndio sababu
ooohh kumbe nilitakiwa nisitaje sababu🙆🙆🙆🙆
Kwahiyo isingekuwa mvua basi usingenimiss?
Wewe si una wake kila kona, hawajui majukumu yao?
😂😂😂😂ooohh kumbe nilitakiwa nisitaje sababu
nimekumiss
kwani ww hujanimiss😂😂😂😂
Sidanganyiki. Subiri mvua ziishe ndio unimiss.
Nitakumiss mvua zikiisha😂kwani ww hujanimiss
hivi una katabia flani hivi nimekagunduaNitakumiss mvua zikiisha😂
Katabia gani?hivi una katabia flani hivi nimekagundua
sitaki kurudia kosa kwa kutaja kama nilivyofanya mwanzoKatabia gani?
Duuuh!!!sitaki kurudia kosa kwa kutaja kama nilivyofanya mwanzo
kule unaponda huku unakubaliMbaya zaidi wanaume wanazidi kupungua
Ikibidi kuwa mke mwenza fresh tu...dudu hainaga makombo
daah pole mama kwa kukubali uhalisiaYaani sipendi ila ikibidi nitafanyaje sasa [emoji23][emoji23]