Jiamini wewe kiumbe hakuna kama wewe

Kweli kabisaa usemayo
Maana kuna muda unakuta watu wanakuattack kupitia thread uliyoanzisha au kuchangia!

Hizo zipo mbona
 
Yaani Mimi ni second version of my dad...!!yaani copy and paste mpk raha!

Na kauzuri nnako japo sio cha kutisha[emoji2][emoji1][emoji1][emoji1]
Kwani ni wababa wote wenye sura ngumu, my douta afanane Tu na mimi, nitafurahi balaa.
 
Yaani Mimi ni second version of my dad...!!yaani copy and paste mpk raha!

Na kauzuri nnako japo sio cha kutisha[emoji2][emoji1][emoji1][emoji1]
Kauzur unakooo tu mamy jisifie mwenyewe mm mzur bhn face mashaaaalah alafu sisi vibonge sura tumejaliwaaaaaaaaaaaa
 
Kweli kabisaa usemayo
Maana kuna muda unakuta watu wanakuattack kupitia thread uliyoanzisha au kuchangia!

Hizo zipo mbona

Na discussions humu zinadumu, urafiki unadumu, chitchat zinadumu kwa sababu ya u-Fake.

Angalia mahali kama FB, group whatsapp na Insta tunaishia kusifiana hata kama ni kinafiki, hakuna kuambiana ukweli kwa sababu tunafahamiana na tunaogopa kugombana, kununiana nk.

Hata humu JF utakuta tukishafahamiana tunaogopana, najikuta kama wewe umeandika pumba ziwezi kukuponda straight ili tu usininunie.
 
Maisha bila unaafiki hayaendi kakaa!
 
Kuna watu hata ukikohoa wanahisi unakohoa kisa yeye yupo hilo eneo. Kuna watu kujiamini ni sifuri hata umsifie kiasi gani.
Sema hapo kwa kutuma picha za watu ngoja nanihii nimwambie aache huo mchezo


Hii kitu hii nakazia kuna ntu akikohoaa tu. Akiangushaa kitu kimakosa utasikiaa kafanya vile ili wamuone... Daah hii kitu sio poa kuishi kwa kujishuku sio vizuri
 
Kila unavozid kusema ukweli humu jf ndo unazid kichukiwa,,,, mkuu jifunze kusema uongoo basiii,,,,, unafiki lazima uwepo
 
Conclusion: siyo kila ku-fake ni kutojiamini.

Kufake kwingine ni kwa ajili ya kuendelea kulinda mahusiano.
Kufake kungine kwa kweli hapana,unaomba picha yangu natuma ya mzigua hivi siku tukimeet inakuaje?[emoji3][emoji3][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…