Jiamini mtoto wa kike

Jiamini mtoto wa kike

J wawatu

Senior Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
147
Reaction score
43
Ni muda mrefu kidogo nimekuwa nikhitaj mtu flan ambaye atakuwa maalum na mke wa maisha yangu, lakini kila ninayempata kwa njia ya mitandao anakuwa kiaina fulani ajiamini vile! Sasa wewe unayejiamini na ni muhitaj kama mimi njoo tuyajenge.

Umri usipungue miaka 27, mimi nina 31years naishi Dar.
 

Attachments

  • IMG_11387021222268.jpeg
    IMG_11387021222268.jpeg
    20.8 KB · Views: 154
Ngoja waje TEAM kujiamini wote panga mstari hapa
 
Last edited by a moderator:
Mademu siku hizi kuku ananafuu maana mpaka akimbizwe!
Wao ukiwaangalia tu wanaangukia mgongo....!
I wish those days when apple and blackberry were just fruits, could come back!
 
Back
Top Bottom